Rais na waziri mkuu UDOM hatujafukuzwa chuo

Rais na waziri mkuu UDOM hatujafukuzwa chuo

Fanyeni uamuzi sahihi fasta,mtuambie,haiwezekani watudhurumu,watuvunje miguu,watuue,then watutishie, hatuwezi kuogopa kufukuzwa then tunakubali kufa (we can live without udom but udom cannot live without us)
 
Duuh...kuna haja ya kufuatilia suala hili kwa ukaribu zaidi....something hidden
 
hakuna mabadiliko yatakayoletwa kwa kuyafumbia macho
udom.
100000.bima...hakuna bma had sasa
walio na bima ..100000..zimeliwa
NIHF MKO WAP
Wanafunzi hamshtuki tu

Wakuu huyu dogo kaandika nini hapa??? Nachelea kuamini kama ni mwanafunzi wa chuo kikuu, tena awe rais wa serikali ya wanafunzi... Hapana labda Rais wa Akudo Impact Nadhani Shyland yupo juu zaidi...

Unaandika habari haina mwanzo wala mwisho!!! Gadensht
 
Back
Top Bottom