Mla Mbivu JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 224 Reaction score 48 Jan 19, 2011 #1 View attachment 20866
coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jan 19, 2011 #2 chukua pipi ila mie nina fungu langu kwenye mradi flani
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Jan 19, 2011 #3 ucjali, nitakwenda ulaya nikirudi zitakuwa nyingi zaidi
KIMICHIO JF-Expert Member Joined Aug 12, 2010 Posts 1,178 Reaction score 80 Jan 20, 2011 #4 Anajiexpress himself jinsi alivyo fundi sanaa hadi kwa under ages.kazi tunayo kidogo sasa?
JOYCE PAUL JF-Expert Member Joined Jan 8, 2010 Posts 1,005 Reaction score 82 Jan 20, 2011 #5 Asante kwa pipi raisi haiishi utamu hii pipi yako kila ninavyoila haiishi utamu
MADAM T JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 5,747 Reaction score 2,977 Jan 21, 2011 #6 Weeh! kwa hiyo huwa anatembea nazo kibao humo kwenye gari, kila akipita anagawa. Sasa katoto kama haka miaka 16 ijayo uje ukaambie CCM imechakachua maendeleo yake sijui katakuonaje..!? mchawi tu...
Weeh! kwa hiyo huwa anatembea nazo kibao humo kwenye gari, kila akipita anagawa. Sasa katoto kama haka miaka 16 ijayo uje ukaambie CCM imechakachua maendeleo yake sijui katakuonaje..!? mchawi tu...