I meant huna haja ya kuandika upuuzi wako et unamuombea kura kwa wana jf..Mimi siko kwenye masuala ya nyomi toa Upumbavu wako hapa
Toka kwenye uzi wangu we kenge mimi mtu yoyote anayeweza kuenjoy watu wanatekwa na kuuliwa huyo ameshavuka mstali wa ubinadamu umekua ni mtu wa kufurahia mateso ya watu ubinadamu wako uko wapi?I meant huna haja ya kuandika upuuzi wako et unamuombea kura kwa wana jf..
Hiyo nyomi inayojaa kwenye kampeni zake ndo itampigia kura!
Pole😁Toka kwenye uzi wangu we kenge mimi mtu yoyote anayeweza kuenjoy watu wanatekwa na kuuliwa huyo ameshavuka mstali wa ubinadamu umekua ni mtu wa kufurahia mateso ya watu ubinadamu wako uko wapi?
Nyie ni mashujaa mitandaoni ndo mnaponza watu kwa sasa ni kuomba Rais atusandie mambo serious msilete ushujaa wa mitandaoni wengine wakitesekaTumekusikiliza, umejitahidi lakini huna jipya. La kwetu linaeleweka na ni moja tu, mda wake umekwisha.
Hao unawaombea wametumia njia isiyo sahihi katika kukosoa kutokana na nafasi zao na vyeo vyao, walikuwa wana uwezo wa kukosoa mambo wanayaona kuwa hayapo sawa kwa njia ya hekima na busara kwani wanayemkosea ndiyo huyo huyo amir jeshi mkuu na ndiye raisi aliyekuwepo madarakani, kitendo cha kumdharau yeye kama taasisi ndicho kilichopelekea ya kutokea yanayotokea.Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Amirijeshi mkuu.
Naomba nikuombee kura hapa Jamii Forums hii ni platform kubwa huwezi kuimbeza.
Ila na mimi nina Maombi yangu kwako Mama kama manne hivi maana ninachokiomba kiko ndani ya Uwezo wako.
Mama kama unakumbuka kuna kipindi mitandao yote Tanzania ilikuwa inaimba sifa nzuri za kwamba unaupiga mwingi na ni kweli hapo nyuma uliupiga mwingi sana kila mtu alikuwa anakusifia ulitenda mambo mazuri sana.
Nakuja kwako mama na maombi yangu,
La kwanza naomba utoe tamko la kijana wetu Polepole apatikane, kama kuna makosa mama tafadhali naomba asamehewa huyu ni kijana mwana CCM mwenzetu kuelekea kwenye uchaguzi ili sio jambo jema ndani ya CCM kuna kura utazipoteza kisa huyu kijana.
Ombi langu la pili naomba umwachilie Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti yoyote kupitia DPP, niliowataja wote ni wapiga kelele tu na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji.
Nimekuomba hayo kwasababu Wewe ni Amiri jeshi Mkuu na kesi za Chadema zote zifutwe mahakamani.
Kuelekea Oktoba 29 ukifanya haya mama utakuwa umeponya Taifa na hutakuwa na deni na mtu na Utakuwa na amani moyoni mwako na kura utavuna za kutosha Oktoba 29
Achana kusikiliza wanafiki na wapambe hao ni watu wabaya tufungulie mitandao ya kijamii yote ikiwepo na JF yetu maisha yaendelee.
Uongozi ni busara na hekima Polepole ungomvi wake mkubwa ulikua ni wahuni Rais wa Tanzania ni Rais wa Watanzania wote vichaa na wendawazimu hao anaweza wachukulia vichaa na wendawazimu maisha yaendelee atoe tamko najua Mama anapitia Jamii forum anatakiwa atoe tamko aponye taifaHao unawaombea wametumia njia isiyo sahihi katika kukosoa kutokana na nafasi zao na vyeo vyao, walikuwa wana uwezo wa kukosoa mambo wanayaona kuwa hayapo sawa kwa njia ya hekima na busara kwani wanayemkosea ndiyo huyo huyo amir jeshi mkuu na ndiye raisi aliyekuwepo madarakani, kitendo cha kumdharau yeye kama taasisi ndicho kilichopelekea ya kutokea yanayotokea.
Mtu alikuwa katibu muenezi wa chama na kisha akawa balozi mtu huyo hawezi kuwa mwendawazimu au kichaa, huenda kuna watu wamemponza kufanya aliyoyanfanya.u
Uongozi ni busara na hekima Polepole ungomvi wake mkubwa ulikua ni wahuni Rais wa Tanzania ni Rais wa Watanzania wote vichaa na wendawazimu hao anaweza wachukulia vichaa na wendawazimu maisha yaendelee atoe tamko najua Mama anapitia Jamii forum anatakiwa atoe tamko aponye taifa
Nimeomba tafadhali sana Rais amwachie polepleMtu alikuwa katibu muenezi wa chama na kisha akawa balozi mtu huyo hawezi kuwa mwendawazimu au kichaa, huenda kuna watu wamemponza kufanya aliyoyanfanya.
Kuna wakati mwingine ubabe pia huwa ni hekima na busara.
Ikiwa kama mlezi au mzazi ukimuona mtoto anacheza kwenye ukingo wa dirisha tena ghorofani basi unaweza kumuadabisha kwa fimbo ili siku nyingine asicheze hapo kwani kutofanya hivyo anaweza akajidhuru au kupoteza maisha kabisa.
Kwanza wacha mamlaka ithibitishe kuwa Polepole kakamatwa ndipo hapo raisi anaweza kulisikiliza ombi lako.Nimeomba tafadhali sana Rais amwachie poleple
Sometimes binadamu tuna fanya mistake na Age ya polepole still young mengine unatumia hekima ya Uongozi na Umri hizi ndo Umri samia ni wa kuomba sawabu kwa Mungu amuepushie mitengo Mingine kupima hekima yako kiungozi Aseme neno Nchi itaponaKwanza wacha mamlaka ithibitishe kuwa Polepole kakamatwa ndipo hapo raisi anaweza kulisikiliza ombi lako.
Wakati alipokuwa akitoa mihadhara yake mbona watu hawakumtahadharisha kuwa anachezea moto!Sometimes binadamu tuna fanya mistake na Age ya polepole still young mengine unatumia hekima ya Uongozi na Umri hizi ndo Umri samia ni wa kuomba sawabu kwa Mungu amuepushie mitengo Mingine kupima hekima yako kiungozi Aseme neno Nchi itapona
Sahihi ..kama wanahisi hao watu wamevunja sheria za nchi, wakamatwa kwa kufuata sheria na wafikishwe Mahakamani..Mimi binafsi nampenda aana Rais Samia ila hii tabia ya watu kutekwa na kupotezwa naomba airekebishe, atambue kuna maisha baada ya haya.
Damu ya mnyama yeyote ni ya thamani mbele za Muumba.
Ombi lako likisikilizwa liongezwe na kuahirisha uchaguzi,ili kuipata katiba mpya itakayorekebisha yote yaliyotufikiosha hapa tulipokwamia kama taifa.Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Amirijeshi mkuu.
Naomba nikuombee kura hapa Jamii Forums hii ni platform kubwa huwezi kuimbeza.
Ila na mimi nina Maombi yangu kwako Mama kama manne hivi maana ninachokiomba kiko ndani ya Uwezo wako.
Mama kama unakumbuka kuna kipindi mitandao yote Tanzania ilikuwa inaimba sifa nzuri za kwamba unaupiga mwingi na ni kweli hapo nyuma uliupiga mwingi sana kila mtu alikuwa anakusifia ulitenda mambo mazuri sana.
Nakuja kwako mama na maombi yangu,
La kwanza naomba utoe tamko la kijana wetu Polepole apatikane, kama kuna makosa mama tafadhali naomba asamehewa huyu ni kijana mwana CCM mwenzetu kuelekea kwenye uchaguzi ili sio jambo jema ndani ya CCM kuna kura utazipoteza kisa huyu kijana.
Ombi langu la pili naomba umwachilie Tundu Antiphas Mughwai Lissu bila masharti yoyote kupitia DPP, niliowataja wote ni wapiga kelele tu na kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji.
Nimekuomba hayo kwasababu Wewe ni Amiri jeshi Mkuu na kesi za Chadema zote zifutwe mahakamani.
Kuelekea Oktoba 29 ukifanya haya mama utakuwa umeponya Taifa na hutakuwa na deni na mtu na Utakuwa na amani moyoni mwako na kura utavuna za kutosha Oktoba 29
Achana kusikiliza wanafiki na wapambe hao ni watu wabaya tufungulie mitandao ya kijamii yote ikiwepo na JF yetu maisha yaendelee.
Tusiwe na Visasi viongozi wanaogopa kupitia maumivu Asa wastaafu waliokwapua pesa za Umma wanaogopa kushiktakiwa katiba ikitamka ivyo na kue na Sheria inayosimia katiba ikitamka jambo lazima litekelezwe kwa lazima kuepusha watu kudharau katiba watu watafungwa katiba iseme Rais anawezwa kushiktakiwa akikiuka katiba na kulinda la Rasilimli za nchi sasa ni bora tutunge hizo sheria lakini kwa mazungumzo hawa tuwasamehe wa sasa Tuanze na katiba mpya wanaogopa kufungwa kupitia maumivu lakini amna namna lazima sasa tungumze tumalize aya mambo kuliko kuja kupoteza kila kitu hao wastaafu maana wakiondoshwa kwa Nguvu ya Umma itakua mbaya kila kitu watapotenza na kukimbia Nchi sasa wajitafakari tukae mezani mapema kutegemea vyombo vya dola watakuja kufeli vibaya Sasa hivi wananchi wameshajua kwamba wanajeshi wanafanya mazoezi wakiskia maandamano washajua ukikosoa serikali umekwisha Sasa miaka mitano ijayo inaweza kua mbaya hawa wanaodai maandamano wanazidi kuongezaka kila siku Sasa kwa nini tusikae mezani Tujadiliane tukubaliane Tuheshiane Tusamehane Usipo ziba Ufa Utajenga Ukuta tunashauri kwa nia NjemaOmbi lako likisikilizwa liongezwe na kuahirisha uchaguzi,ili kuipata katiba mpya itakayorekebisha yote yaliyotufikiosha hapa tulipokwamia kama taifa.
Kawaida kenge sii msikivu,hadi ashuhudie ubongo wake unachungulia nje ya fuvu lake,ndio anajaribu kukumbuka ambavyo akili yake inaweza kumsaidia.Tusiwe na Visasi viongozi wanaogopa kupitia maumivu Asa wastaafu waliokwapua pesa za Umma wanaogopa kushiktakiwa katiba ikitamka ivyo na kue na Sheria inayosimia katiba ikitamka jambo lazima litekelezwe kwa lazima kuepusha watu kudharau katiba watu watafungwa katiba iseme Rais anawezwa kushiktakiwa akikiuka katiba na kulinda la Rasilimli za nchi sasa ni bora tutunge hizo sheria lakini kwa mazungumzo hawa tuwasamehe wa sasa Tuanze na katiba mpya wanaogopa kufungwa kupitia maumivu lakini amna namna lazima sasa tungumze tumalize aya mambo kuliko kuja kupoteza kila kitu hao wastaafu maana wakiondoshwa kwa Nguvu ya Umma itakua mbaya kila kitu watapotenza na kukimbia Nchi sasa wajitafakari tukae mezani mapema kutegemea vyombo vya dola watakuja kufeli vibaya Sasa hivi wananchi wameshajua kwamba wanajeshi wanafanya mazoezi wakiskia maandamano washajua ukikosoa serikali umekwisha Sasa miaka mitano ijayo inaweza kua mbaya hawa wanaodai maandamano wanazidi kuongezaka kila siku Sasa kwa nini tusikae mezani Tujadiliane tukubaliane Tuheshiane Tusamehane Usipo ziba Ufa Utajenga Ukuta tunashauri kwa nia Njema