Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Nov 13, 2022 #1 Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia.
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Nov 13, 2022 #2 Meneja Wa Makampuni said: Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia. Click to expand... Kwahiyo Byabato ajiuzulu?
Meneja Wa Makampuni said: Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia. Click to expand... Kwahiyo Byabato ajiuzulu?
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Nov 13, 2022 Thread starter #3 Mods naomba mfute huu uzi. Naona watu hawajanielewa.
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Nov 13, 2022 #4 Meneja Wa Makampuni said: Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia. Click to expand... Ni kweli, kwenye nchi ya watu wajinga, wapambe wa rais ndio huaminisha watu hivyo.
Meneja Wa Makampuni said: Rais ndiye anatafuta pesa zote za miradi na kujenga uchumi wetu. Hivyo ni yeye ndiye anajua kwa undani zaidi ukamilikaji wa miradi na level ya uchumi wa taifa letu. Tuwe makini kumsikiliza Rais wetu anapohutubia. Click to expand... Ni kweli, kwenye nchi ya watu wajinga, wapambe wa rais ndio huaminisha watu hivyo.
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Nov 13, 2022 Thread starter #5 Mods naomba futa huu uzi.