Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Huyo atakuwa amewapitia wabunge wengi wa kikemtu anayefaa pale ni yule mbunge anayepiga serekasi bungeni na kuangalia sinema za ngono huku wenzake wakijadili bajeti.
Huyo atakuwa amewapitia wabunge wengi wa kikemtu anayefaa pale ni yule mbunge anayepiga serekasi bungeni na kuangalia sinema za ngono huku wenzake wakijadili bajeti.
Hakuna kipindi ambacho serikali inaongozwa na watu wahovyo haijapata kutokea..ilikuwa ni utamaduni wetu watoto wa shule na vyuo kutumbuiza kwenye maadhimisho na sherehe zote za kiserikali, jambo ambalo ni zuri lina manufaa kwa nchi..vijana wanafundishwa kupenda nchi yao sababu wanashiriki kwenye mambo ya kitaifa..kwa sasa watumbuizaji kwenye sherehe zote za kiserikali ni mpoto, diamond, kiba na dulla makabila..hawa wote ni wanamuziki sisi wazazi majumbani kwetu haturuhusu watoto wetu kutizama miziki au kusikiliza nyimbo za hawa watu sababu kimaadili nyingi si nzuri kutizama au kusikiliza..halafu serikali inawaleta hadharani ambapo watoto wetu wapo na wengine wanafuatilia TBC, tulishasema jambo hili serikali acheni kutuharibia watoto kupitia wanamuziki wasio na maadili..km hakuna wa kuwaalika kutumbuiza bora wasiwepo kabisa lkn si kualika hawa wanamuziki..Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi ,na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu ,mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska.
Mambo yao yalipofikia huwezi kukaa na familia yako ukiwaangalia kwenye TV ni aibu na fedheha kwenye jamii.
Viongozi wa dini haifai kabisa kuwajadili watu hawa wacheni wapuuzeni kwani kushirikiana nao ni kuzipotosha dini,watu hawa hawana nafasi katika dini ,msimamo ni kitu muhimu sana ,viongozi wa dini wanawatoa waumini katika misimamo ,utakuta wakuu hawa wa ufuska wakitoa misaada,kujenga misikiti makanisa kusaidia watoto , kwa ufupi ni kuipiga na chini misaada yao yote kwa maana ya kuikataa mchana kweupe ,hizi dini zilikuwepo kabla mama zao na baba zao hawajazaliwa na zitaendelea kuwepo bila ya hata kutumia ndururu yao..
Wao weshaangami wasitake kumsaidia Shetwani kuzidi kuwapoteza wengine.
Nikirudi mitaani kuna ngoma ambazo utawaona wadodo wadogo sana wakihemkwa kupita maelezo tuseme wanawashinda mama zao ,mambo ambayo hupelekea kushughulikiwa wakiwa wadodo ,kisha utasikia wazee wao wakipiga makelele mtoto wao kabakwa,sijui kwanini hawashangilii kwa kupata aliyoyalima ,yaliyomkuta mwana wao ni mavuno.
Hawa washezi wanamuziki walio yaani hawana tofauti na kaumu zilizoangamizwa leo wanasimama kwenye shughuli za kitaifa ,Tunasema Tanzania haina dini ila wananchi wake wana imani tofauti kinachotakiwa ni kuheshimiana ,mnajua Raisi dini yake na mnajua waliochini yao wana dini zao na ndio ikawepo brass band ya Taifa inayotoa burudani zisizo na aibu wala viashiria vya kuaibisha.
Leo Tanzania wakija au wakifikiwa na wageni wa kiserekali kubwa ni kupelekwa wakata viuno pale uwanja wa ndege na kule jeshini nako Raisi akiwa kwenye maadhimisho yao wanaletwa wakata viuno ndio panoge ,hivi jeshini hakuna brass band ya kutumbuiza ? Ni aibu na kuwadhalilisha jamii ya wanawake akiwemo Raisi ,hivi yakatapwo mauno Rais anawatazamaje walio pembeni yake ya wanaosisimkwa na mwili ? Ni fedheha japo utamuona Rais haridhiki hubaki kumeza mate tu ,Je hawezi kuwaita pembeni na kuwaeleza niwapo baadhi ya mambo sipendi kuyaona sio mazuri kwa kioo cha jamii ,awambie hilo tu watamfahamu na wao watayarishaji watamfahamu.
Tunaenda kubaya. Eti mambo ya pwani, ya unyago mchana kweupe kila mtu aone. Igeni Wanyarwanda & Waganda hawana upuuzi huu. Unanikumbusha wanafunzi wa Uhuru PrimarySch. Walikata mauno mbaya, eti kutangaza maziwa ya Bw Tomaso baada ya kuwajengea ukuta. Taifa lilipaza sauti.Serikali za Tanzania zinakumbatia wanaoendeleza ugahaba na ushenzi ,na wanamuziki wote hapa Tz ukifuata mienendo yao hawana isipokuwa kuendeleza tabia chafu ,mambo ya haramu kwao wao wanayafanya kuwa halali na wengine huvuka mipaka na kuzichanganya dini kati tabia zao za ufuska.
Mambo yao yalipofikia huwezi kukaa na familia yako ukiwaangalia kwenye TV ni aibu na fedheha kwenye jamii.
Viongozi wa dini haifai kabisa kuwajadili watu hawa wacheni wapuuzeni kwani kushirikiana nao ni kuzipotosha dini,watu hawa hawana nafasi katika dini ,msimamo ni kitu muhimu sana ,viongozi wa dini wanawatoa waumini katika misimamo ,utakuta wakuu hawa wa ufuska wakitoa misaada,kujenga misikiti makanisa kusaidia watoto , kwa ufupi ni kuipiga na chini misaada yao yote kwa maana ya kuikataa mchana kweupe ,hizi dini zilikuwepo kabla mama zao na baba zao hawajazaliwa na zitaendelea kuwepo bila ya hata kutumia ndururu yao..
Wao weshaangami wasitake kumsaidia Shetwani kuzidi kuwapoteza wengine.
Nikirudi mitaani kuna ngoma ambazo utawaona wadodo wadogo sana wakihemkwa kupita maelezo tuseme wanawashinda mama zao ,mambo ambayo hupelekea kushughulikiwa wakiwa wadodo ,kisha utasikia wazee wao wakipiga makelele mtoto wao kabakwa,sijui kwanini hawashangilii kwa kupata aliyoyalima ,yaliyomkuta mwana wao ni mavuno.
Hawa washezi wanamuziki walio yaani hawana tofauti na kaumu zilizoangamizwa leo wanasimama kwenye shughuli za kitaifa ,Tunasema Tanzania haina dini ila wananchi wake wana imani tofauti kinachotakiwa ni kuheshimiana ,mnajua Raisi dini yake na mnajua waliochini yao wana dini zao na ndio ikawepo brass band ya Taifa inayotoa burudani zisizo na aibu wala viashiria vya kuaibisha.
Leo Tanzania wakija au wakifikiwa na wageni wa kiserekali kubwa ni kupelekwa wakata viuno pale uwanja wa ndege na kule jeshini nako Raisi akiwa kwenye maadhimisho yao wanaletwa wakata viuno ndio panoge ,hivi jeshini hakuna brass band ya kutumbuiza ? Ni aibu na kuwadhalilisha jamii ya wanawake akiwemo Raisi ,hivi yakatapwo mauno Rais anawatazamaje walio pembeni yake ya wanaosisimkwa na mwili ? Ni fedheha japo utamuona Rais haridhiki hubaki kumeza mate tu ,Je hawezi kuwaita pembeni na kuwaeleza niwapo baadhi ya mambo sipendi kuyaona sio mazuri kwa kioo cha jamii ,awambie hilo tu watamfahamu na wao watayarishaji watamfahamu.
Wajinga waliokuwepo 1990 sio sawa na sasa 2025.CCM haitegemei polisi itakuwa hamjagundua tu kuna kaufa fulani wanakitumia hata CHADEMA majuzi kule mbeya walisema watakitumia kuwakamata wanasiasa wa CCM saa za usiku au kwenye mabaa.
Hakika, mimi siamini mbunge yeyote wa kike bungeni kwani wengi wao wamewekwa pale ili wawe vipozeo tu vya wenzao na hii ni toka zamani. Hakuna watu mafuska kama wabunge, na huu utandawazi uliopo sasa, unaambiwa siku hizi wanaingia na sinema zao za ngono kuangalia wakati bunge linajadiliwa. Yaani mimi nikiona tu mbunge mtaani ni sawa na kumuona malaya, mchawi, na msanii....I never take them serious kwani wote wana hizo sifa nilizozitaja hapo juu.Huyo atakuwa amewapitia wabunge wengi wa kike
Manara ni msanii wa nini Sheikh?kuwa na heshima bwanaNgoma na muziki kwa ujumla ni ujinga ..Watu wajidhalilisha kabisa ,unakuta mtu anajielewa ila akifika huko ukumbini kwenye mziki anafanya mambo ya kijinga ,wale wacheza ngoma kichwani hamna kitu kabisa.
Ukija kwa hao wasanii , wanajifanya muda mwingine wanajua dini ,kama Mwijaku na Manara ila ni washenzi tu ..Hawa walitakiwa wapigwe marufuku kwenye ishu za kidini ,Mwijaku leo anamsema mtu kuhusu dini kesho unamuona mwanae anatembea nusu uchi yaani tabu na huyo Manara ana miaka 50 ila hata ndoa anafanya mchezo ,anaona na kuacha ni ujinga tupu.
Heshima ipi unataka ? Usiwe mjinga hata uwe mkubwa ukiwa mjinga haustahili heshima , chunga ndimi yako.Manara ni msanii wa nini Sheikh?kuwa na heshima bwana