Rais ni nembo Ya nchi, Tumpende na kumpa ushirikiano wa kutosha

Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi.

Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo. Tunapokuwa na changamoto, tutoe mawazo na ushauri kwa heshima. Kukosoa siyo kuchukia, na kuunga mkono siyo kukubaliana na kila kitu.

Cha muhimu zaidi ni kutokubali tofauti za kisiasa zitufanye Watanzania tushindwe kuheshimiana.

❤️ Tumuheshimu Rais wetu, tumpe moyo katika majukumu yake na tushirikiane katika mambo yanayolenga kuijenga Tanzania.

Tukumbuke kwamba baada ya siasa, baada ya tofauti za mitazamo na baada ya mijadala yote, bado tunabaki kuwa ndugu, majirani na Watanzania.

🇹🇿 Tuipende Tanzania yetu, tuheshimu uongozi wetu, tushirikiane kujenga taifa letu na zaidi ya yote, tuilinde amani yetu.

Tanzania kwanza. Umoja wetu kwanza. Amani yetu kwanza. 🇹🇿❤️
View attachment 3665558
Hatumpendi.
Hatukupenda mume wake afe. Tulitaka afe Abdul, aone uchungu wa kufiwa.
 
Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. George Lugome kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, alipokuwa akizungumza na chombo kimoja cha Habari Jijini Dar es Salaam.

Bw. Lugome amesema kuwa hivi karibuni kumekuwa na upotoshwaji wa Alama za Taifa na kukumbusha kuwa Alama hizi zipo kwa mujibu wa sheria “Na yeyote atakayechezea alama hizi atapata adhabu kwa mujibu wa sheria na adhabu yake kwa yeyote anayekiuka atatumikia kifungo cha miaka miwili Jela ama faini,ama vyote viwili kwa pamoja, ambapo sheria hii ya mwaka 1964 ipo kwenye mchakato wa kubadilishwa.” Alisisitiza.

Akizungumza kuhusu Nembo ya Taifa, Bw. Lugome alisema kuwa Nembo hiyo, ipo kwa Matumizi ya shughuli za Serikali pekee na sheria imesema Wazi, na aliongeza kwa kusema kuwa matumizi ya alama za Taifa ambayo siyo sahihi yanaharibu Haiba ya Taifa na Idara ya Mpiga Chapa ndo yenye jukumu kubwa la kuhakikisha kuwa matumizi ya Alama hizi yanatumika kwa usahihi.

Aidha, Bwana Lugome Alifafanua kuwa uchapishaji holela wa alama hizi na uchoraji wa nembo hizi kuonesha ubunifu wao, unachangia upotoshwaji na kuharibu uhalisia wake.Kwa Upande wa Bendera ya Taifa, Bw. Lugome Alizungumza na kutolea ufafanuzi kuhusu rangi nne za Bendera ya Taifa zinazotumika

Akizungumzia Wimbo wa Taifa, Bw. Lugome alisema Wimbo wa Taifa Unavyoimbwa lazima uimbwe kwa beti zote mbili na kufuata Ala zilizowekwa na kusimama kikakamavu ambapo ni hali ya kuonesha utamaduni na Uzalendo kwa Taifa hili.

Aidha, alidokeza kuwa Mh Rais si moja ya nembo za taifa. Hivyo wanaomchukulia Rais kama nembo ya Taifa wawe makini sana na mtazamo wao
Hizi takataka hata nembo za taifa hazijui. Wao ni kumuabudu tu mungu wao na kumpa sifa asizostahili.
 
Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi.

Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo. Tunapokuwa na changamoto, tutoe mawazo na ushauri kwa heshima. Kukosoa siyo kuchukia, na kuunga mkono siyo kukubaliana na kila kitu.

Cha muhimu zaidi ni kutokubali tofauti za kisiasa zitufanye Watanzania tushindwe kuheshimiana.

❤️ Tumuheshimu Rais wetu, tumpe moyo katika majukumu yake na tushirikiane katika mambo yanayolenga kuijenga Tanzania.

Tukumbuke kwamba baada ya siasa, baada ya tofauti za mitazamo na baada ya mijadala yote, bado tunabaki kuwa ndugu, majirani na Watanzania.

🇹🇿 Tuipende Tanzania yetu, tuheshimu uongozi wetu, tushirikiane kujenga taifa letu na zaidi ya yote, tuilinde amani yetu.

Tanzania kwanza. Umoja wetu kwanza. Amani yetu kwanza. 🇹🇿❤️
View attachment 3665558
Rais mwenyewe hataki kusikia hiki ulichoandika. Akikujua atakushughukia ukome Kujipendekeza
 
Rais aliyewekwa madarakani na wananchi hahitaji kuanzishiwa nyuzi kama hizi.
 
Samuya anapendwa kwa dhati kabisa na wateule wake (walamba asali) pamoja na machawa yao....baasi.
Huku ground mamilioni ya watz hawampendi kabisaa...ukweli mchungu!.
 
Mwishoni umeandika "Tanzania kwanza, Umoja wetu kwanza,Amani yetu kwanza"
Mbona huyo "laisi" HAVIJALI?
 
Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi.

Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo. Tunapokuwa na changamoto, tutoe mawazo na ushauri kwa heshima. Kukosoa siyo kuchukia, na kuunga mkono siyo kukubaliana na kila kitu.

Cha muhimu zaidi ni kutokubali tofauti za kisiasa zitufanye Watanzania tushindwe kuheshimiana.

❤️ Tumuheshimu Rais wetu, tumpe moyo katika majukumu yake na tushirikiane katika mambo yanayolenga kuijenga Tanzania.

Tukumbuke kwamba baada ya siasa, baada ya tofauti za mitazamo na baada ya mijadala yote, bado tunabaki kuwa ndugu, majirani na Watanzania.

🇹🇿 Tuipende Tanzania yetu, tuheshimu uongozi wetu, tushirikiane kujenga taifa letu na zaidi ya yote, tuilinde amani yetu.

Tanzania kwanza. Umoja wetu kwanza. Amani yetu kwanza. 🇹🇿❤️
View attachment 3665558
Huko Zanzibar wanashangaa inakuwaje Mwanamke awe kiongozi nyie?
Wakati dini hairuhusu Mwanamke kumtawalawa mwanaume?
Mko kinyume na Mungu na radhi zake,
Kashindwa kuheshimu Quran tukufu ataweza kuheshimu Katiba yenu au ndio ile kuita katiba kiji kitabu?
 
Serikali haina dini
 
Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi.

Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo. Tunapokuwa na changamoto, tutoe mawazo na ushauri kwa heshima. Kukosoa siyo kuchukia, na kuunga mkono siyo kukubaliana na kila kitu.

Cha muhimu zaidi ni kutokubali tofauti za kisiasa zitufanye Watanzania tushindwe kuheshimiana.

❤️ Tumuheshimu Rais wetu, tumpe moyo katika majukumu yake na tushirikiane katika mambo yanayolenga kuijenga Tanzania.

Tukumbuke kwamba baada ya siasa, baada ya tofauti za mitazamo na baada ya mijadala yote, bado tunabaki kuwa ndugu, majirani na Watanzania.

🇹🇿 Tuipende Tanzania yetu, tuheshimu uongozi wetu, tushirikiane kujenga taifa letu na zaidi ya yote, tuilinde amani yetu.

Tanzania kwanza. Umoja wetu kwanza. Amani yetu kwanza. 🇹🇿❤️
View attachment 3665558
Raisi wa Zanzibar, Tanganyika au Tanzania?
 
Heshima haiombwi, heshima hupiganiwa...

Respect is not demanded, Respect is earned..

She want it, she must earn it...

Ni ngumu sana kwa kiongozi (Rais) asiyeheshimu wananchi wake anaojidai kuwaongoza halafu hapohapo awe guts za kusimama wima kudai au kuomba heshima kwa hao anaowaongoza..!

Ni ngumu sana kwa kiongozi (Rais) muuaji wa watu wake mwenyewe anaojidai kuwaongoza, asimame hadharani kuomba heshima kwa watu haohao anaowawinda kila siku awaue au awatese...

Rais wa namna hii sanasana ataogopwa tu kwa sbb anajua lakini si kuheshimiwa....

Kuna tofauti kati ya to be feared and to be respected..

Kwa Samia can be feared but never be respected..!
 
Back
Top Bottom