Home tutor Dar
Senior Member
- Feb 23, 2025
- 126
- 156
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya viongozi mitandaoni siyo tu kwamba ni ukiukwaji wa maadili bali pia ni kuvunja misingi ya nidhamu na ustaarabu wa kitaifa.
Tujifunze:
- Kukosoa kwa hoja, si kwa matusi.
- Kutoa mapendekezo, si kubeza kila jambo.
- Kuelimisha, si kuchochea.
Tanzania ni yetu sote. Ustaarabu, maadili na heshima kwa viongozi wetu ni tunu ambazo lazima tuzilinde.
Tuijenge nchi kwa hoja zenye tija — si matusi mitandaoni.
✳️ Tanzania kwanza, tofauti baadaye.
Kumpinga siyo kosa la jinai. Ni democracy kumuamini na kutokumuamini. Unaweza kumfuata na Unaweza usimfuate blindly. Rais ni taasisi kama ulivyosema. Lakini pia Rais ni binaadamu aliyezungukwa na watu wenye mapungufu na nia mbalimbali tofauti na naya kwake.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya viongozi mitandaoni siyo tu kwamba ni ukiukwaji wa maadili bali pia ni kuvunja misingi ya nidhamu na ustaarabu wa kitaifa.
Tujifunze:
- Kukosoa kwa hoja, si kwa matusi.
- Kutoa mapendekezo, si kubeza kila jambo.
- Kuelimisha, si kuchochea.
Tanzania ni yetu sote. Ustaarabu, maadili na heshima kwa viongozi wetu ni tunu ambazo lazima tuzilinde.
Tuijenge nchi kwa hoja zenye tija — si matusi mitandaoni.
✳️ Tanzania kwanza, tofauti baadaye.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya viongozi mitandaoni siyo tu kwamba ni ukiukwaji wa maadili bali pia ni kuvunja misingi ya nidhamu na ustaarabu wa kitaifa.
Tujifunze:
- Kukosoa kwa hoja, si kwa matusi.
- Kutoa mapendekezo, si kubeza kila jambo.
- Kuelimisha, si kuchochea.
Tanzania ni yetu sote. Ustaarabu, maadili na heshima kwa viongozi wetu ni tunu ambazo lazima tuzilinde.
Tuijenge nchi kwa hoja zenye tija — si matusi mitandaoni.
✳️ Tanzania kwanza, tofauti baadaye.
mkuu gonga supu mahala uliko na Pepsi ya bariiidi! Wasikudai pesaUrais ni mtu. Hatuchagui taasisi tunachagua mtu. Akienda fyongo tunapiga kura atoke mtu si taasisi!
Hili la taasisi ni jitihada za wahuni kuuteka nyara uraisi na kutaka kuleta upotoshaji!
Taasisi kwa kifungu kipi katika katiba?!
mkuu gonga supu mahala uliko na Pepsi ya bariiidi! Wasikudai pesa
Imategemea taasisi ya wahuni au waadilifuRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya viongozi mitandaoni siyo tu kwamba ni ukiukwaji wa maadili bali pia ni kuvunja misingi ya nidhamu na ustaarabu wa kitaifa.
Tujifunze:
- Kukosoa kwa hoja, si kwa matusi.
- Kutoa mapendekezo, si kubeza kila jambo.
- Kuelimisha, si kuchochea.
Tanzania ni yetu sote. Ustaarabu, maadili na heshima kwa viongozi wetu ni tunu ambazo lazima tuzilinde.
Tuijenge nchi kwa hoja zenye tija — si matusi mitandaoni.
✳️ Tanzania kwanza, tofauti baadaye.
wahuni wamemteka, naye kakubali kutekwa! ndio wanaeneza ujinga wa "Taasisi",. Hajajua kifuatachoTuzikatae lugha hizi za kututoa kwenye reli. Urais kama zilivyo nyadhifa zingine za kisiasa, hauna ubia!
Hili ndiyo jibu kwa paragraph yote ya chini....katika kutopendwa hayo yote uliyoyakataza lazima yawemo...mi nadhani ungeshauri aendelee kuwa mvumilivu bila kuleta madhara.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi
Respect has to be earned, heshima inajengwa haiji tu yenyewe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya viongozi mitandaoni siyo tu kwamba ni ukiukwaji wa maadili bali pia ni kuvunja misingi ya nidhamu na ustaarabu wa kitaifa.
Tujifunze:
- Kukosoa kwa hoja, si kwa matusi.
- Kutoa mapendekezo, si kubeza kila jambo.
- Kuelimisha, si kuchochea.
Tanzania ni yetu sote. Ustaarabu, maadili na heshima kwa viongozi wetu ni tunu ambazo lazima tuzilinde.
Tuijenge nchi kwa hoja zenye tija — si matusi mitandaoni.
✳️ Tanzania kwanza, tofauti baadaye.
wahuni wamemteka, naye kakubali kutekwa! ndio wanaeneza ujinga wa "Taasisi",. Hajajua kifuatacho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, sio lazima apendwe na kila mtu — hiyo ni kawaida katika uongozi. Lakini ni LAZIMA aheshimiwe na kila raia bila kujali tofauti za kisiasa, kiimani au mitazamo ya kijamii.
Kuongezeka kwa lugha za matusi, kejeli na dhihaka dhidi ya viongozi mitandaoni siyo tu kwamba ni ukiukwaji wa maadili bali pia ni kuvunja misingi ya nidhamu na ustaarabu wa kitaifa.
Tujifunze:
- Kukosoa kwa hoja, si kwa matusi.
- Kutoa mapendekezo, si kubeza kila jambo.
- Kuelimisha, si kuchochea.
Tanzania ni yetu sote. Ustaarabu, maadili na heshima kwa viongozi wetu ni tunu ambazo lazima tuzilinde.
Tuijenge nchi kwa hoja zenye tija — si matusi mitandaoni.
✳️ Tanzania kwanza, tofauti baadaye.
Duh!...Urais ni mtu. Hatuchagui taasisi tunachagua mtu. Akienda fyongo tunapiga kura atoke mtu si taasisi!