Rais ni taasisi, tuheshimu ofisi ya urais

Umeongea kitu kizuri kwa namna ya hovyo kabisa. Ni kweli rais ni taasisi na yapaswa kuheshimiwa na kuogopwa.

Ila sasa akikaa mtu sahihi. Kwahiyo hata akikaa mtu wa hovyo anayefanya hovyo nae anatakiwa kuheshimiwa?
 
Mjinga Mmoja wewe !! .
 
Wewe tumeshakustukia ni mzee wa ubwabwa Chaumma umeuleta huu uzi ili wamtukane tu Bimkubwa ili ujisikie raha
 
wao wakivunja Katiba sio kosa na hawajali kitu, pumbavu zao hasa huyo bi chura
 
Ni pale Rais wa Tanzania anapopewa nafasi sawa na mungu na kulazimisha aheshimiwe tu bila sababu ya msingi.
 
Sisi wengine kwa hao wenye matusi tutapambana nao kwa matusi pia. Kama wao wanatusi wengine basi na wao yanawasubiri.
 


Ukiheshimu una heshimika sawa
 
Kila ofisi, idara au taasisi.... huheshimika au kudharaulika kwa matendo yake....hivyo sifa huja kulingana na inachozalisha....hakuna haja ya kulazimisha heshima kama ofisi husika haizalishi heshima husika.

Chunguza ofisi unayoitaja na watu waliohudumu katika ofisi hiyo kwa nyakati tofauti utagundua kuwa heshima huwa inapanda na kushuka kulingana na mhudumu wa kipindi husika.
Ashakum sio matusi.....huyu mwanamke kazingua sana japo mnampamba mno lakini hana sifa hata ya kuwa mama....hafai kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…