mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Kwa maduro haishangazi anapenda utawala wa kulia lia kuonekana anaonewa siku zoteKwahiyo Unataka Kusema Kuwa Hii Attempt Ya Pili Ilikuwa Staged!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa maduro haishangazi anapenda utawala wa kulia lia kuonekana anaonewa siku zoteKwahiyo Unataka Kusema Kuwa Hii Attempt Ya Pili Ilikuwa Staged!
Rais wa Venezuela amenusulika katika jaribio linalosemekana la kutaka kumuua kwa kutumia drone device, wakati akihutubia mkutano mjini Caracas. Rais Maduro hakupata madhara yoyote katika tukio hilo ingawa wanajeshi saba waliumia.
Television ya Taifa ilionyesha hotuba ya Rais ikikatishwa ghafla wakati wa sherehe (National Guard's 81 anniversary)
Waziri wa habari wa Venezuela amenukuliwa akisema, "There had been an "attack" against the president involving drones loaded with explotives.
Maduro is "fine" and continuing to work"
Maduro alikuwa kasimama pembeni ya mke wake Cilia Flores na baadhi ya maafisa wa Jeshi. Video ilimuonyesha Flores kushtuka na kuangalia juu baada ya mlio wa milipuko.
Venezuelan president Nicolás Maduro survives drone assassination attempt
ni makafiri akina donald trumpMnaojuaga kuchambua siasa mtufundishe.
Nini kimefikisha Venezuela ilipo?
EU mwenye nguvu ni ujerumani na yeye now kama vile anataka ujirani mwema na moscowSio U.S pekee wanakomaa na vikwazo.
EU nao pia wanaendeleza vya kwao.