Rais wa Rwanda, Paul Kagame, amesema uongozi bora barani Afrika unahitaji uhalali wa mamlaka katika ngazi ya kitaifa na bara, akisisitiza kuwa viongozi wanapaswa kuwajibika kwa namna wanavyotumia madaraka yao.
Akizungumza katika mjadala wa jopo kwenye Africa Mindset Reset Forum iliyoandaliwa na African School of Governance (ASG) mjini Kigali, Agosti 25, 2026, Kagame alisema jamii inapaswa kuwa na ujasiri wa kukemea viongozi pale wanaposhindwa kufanya yaliyo sahihi, akionya kuwa Taifa kuwa huru haipaswi kutumiwa kama sababu ya kukaa kimya. Alisema vijana pia wanapaswa kujenga ujasiri wa kutafuta njia mbalimbali za kueleza wanachofikiri
Kagame pia amesisitiza umuhimu wa mfumo wa utawala katika kuhakikisha uwekezaji katika miundombinu, afya, elimu na kilimo unaleta matokeo yaliyokusudiwa, akisema mifumo ya kisiasa na kiutawala ndiyo huamua iwapo uwekezaji huo utaweza kuboresha maisha ya wananchi au la.
------------------
"When it comes to selecting legitimate leaders, and to the point that President Mbeki made, there has to be legitimacy. There has to be legitimacy at the national level, but you should not neglect legitimacy at the continental level.
And then, that again comes to the point where, when leaders are there and some of them are not doing the right thing, it's true, we should have the courage to raise it. Because you can't just use sovereignty... you know, you are messing up a country that has sovereignty, indeed, and then you come to the continental level, you are also messing up.
And we have to keep quiet because by sovereignty, you happen to be there? And by that, to a degree, it has come to a point of legitimacy? That should not be enough.
Sovereignty and legitimacy combined should also be demonstrating that people are doing the right thing for themselves and for those they lead. And we can't be made to—I mean, even the young people here should develop having the courage to find a form in which they can express this, one way or another. So the conversation goes on.
Now, the investments we have to make—we talked about leaders, and leaders definitely are the ones in the end responsible for all the things we do. When we do wrong things, they have their own consequences, and you can see how this affects people.
So the governance aspect of it all is very important. Because I can tell you that we can invest in infrastructure, we invest in health institutions, we invest in education, or all these are important. We can invest in agriculture for food security to be able to feed ourselves. These are very important; they are actually key.
But depending on the governance structure, these are either going to happen or even when they have come to being, they will be able either to give the results we expect or not. The politics behind it all will decide whether the infrastructure we are investing in, or whatever you are investing in that is going to improve the lives of people, will stand and work for the benefit of these people."