Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Rais Putin wa Russia amekataa pendekezo lilitolewa na Rais mteule wa marekani Bwana Donald Trump la kumtaka kusitisha mapigano kati yake na Ukraine na badala yake kuwepo na muda wa miaka 20 baadae ili Ukraine iweze kujiunga na Umoja wa za NATO.
Sambamba na hilo Bwana Trump alipemdekeza pia kuwepo kwa vikosi vya kijeshi nchini Ukraine kwa kipindi chote hicho na kwa sasa vita hivyo visitishwe.
Rais Putin amesisitiza msimamo wake kuwa Ukraine haruhusiwi kujiunga na NATO hata ingekua miaka 1000 ijayo na akaeleza kwamba Urusi itaendelea kuyashikilia maeneo yote ya donbase ambayo raia wake wanaozungumza lugha ya kirusi walikua wakinyanyasika.
Naona Trump kagonga mwamba.
================
Russia rejects Trump's proposal to postpone Ukraine's NATO membership for 20 years in exchange for a ceasefire.