Rais Putin apiga zoezi la Judo kwa saa moja na kwa kweli huyu mwamba yupo fit sana

Mbavu zangu huku πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kuna mjeda pembezoni kacheka mpaka na yeye kapiga hewa teke.. πŸ˜‚ πŸ˜‚...
Hahaa...uzalendo umemshinda!
 
Jiwe hawezi kufanya hivyo miaka mia kazi yake na ustadi wa kipuuzi ni kutuibia pesa tu 1.5 trillion [emoji51][emoji51][emoji51]

Sent using Infinix hot 4
 
Jamaa anapenda sana kujishughulisha.

Inasemwa kwenye routine yake ya kila siku huwa anapiga saa mbili akiogelea tu!

Na kuogelea ni zoezi linaloshirkisha mwili mzima.
Anaogelewa wapi Ferry au Mbudya?
 
Jambo moja la kufurahisha ni kwamba Putin alicheza na msichana bingwa wa Olimpiki wa mwaka 2016 aitwae Natalia Kuzyutina ambae aliweza kumwangusha Putin chini lakini sehemu ya picha hizo ikafanyiwa uchakachuaji.


Utasemaje Putin yuko fit ilhali kapigwa na DEMU?!!, Unasemaje akikutana na makomandoo wa kiume??!!🀣🀣🀣🀣
 
Jamaa anapenda sana kujishughulisha.

Inasemwa kwenye routine yake ya kila siku huwa anapiga saa mbili akiogelea tu!

Na kuogelea ni zoezi linaloshirkisha mwili mzima.
Sasa mkuu jamaa ni lijasusi hilo tena lililo bobea unatarajia mtu huyo atakuwaje "!?

Uraisi katika nchi za wenzetu huwa wanapewa watu wanao toka kwenye kitengo cha kutumia akili nyingi sana (intelligence) au la basi mtu huyo awe na uwezo mkubwa sana wakufikiri kama ambavyo Israel walivyo muombaga Albert Einstein awe raisi wa nchi yao lakini jamaa aka yakataa maombi yao " no kwakuwa waisrael walikuwa wana utambua uwezo mkubwa alio nao Albert ..

Lakini ajabu iliyo kweli hapa tz waweza kushangaa siku 1 mtu kama MSUKUMA au CYPRIAN MUSIBA akaja kuwa raisi wa nchi " .....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…