NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Hahahaha hahaha
Mkulu wetu nasikia ni bingwa wa ngwala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkulu wetu nasikia ni bingwa wa ngwala.
HahaaNimecheka sana, kainuliwa bado akaanza kuugulia maumivu yaani kashuti kale kamemdondosha na maumivu juu
Kuna mjeda pembezoni kacheka mpaka na yeye kapiga hewa teke.. 😂 😂...
Hahaa...uzalendo umemshinda!Mbavu zangu huku 😂 😂 😂 😂
Kuna mjeda pembezoni kacheka mpaka na yeye kapiga hewa teke.. 😂 😂...
Kama Lindugai linawaza ujinga ndo maana linakatwa vidole kwa kisukariKwa ukwasi alionao angekua kiongozi wa inchi mojawapo kwenye bara letu hili la Analogi angebweteka na kitambi plus kisukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza mungemkubari? SI siku mbili tu mungeanza kuingizziwa propaganda za Demokrasia na haki za binaadamu toka MagharibiKwa ukwasi alionao angekua kiongozi wa inchi mojawapo kwenye bara letu hili la Analogi angebweteka na kitambi plus kisukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri akitoka madarakani hayo maswali yako lbda atapatikana kiongozi mwenye utashi wa kuhoji huo ukwasi chanzo chake, ila ww jua kua putin ni mkwasi c haba
Sent using Jamii Forums mobile app
Autolee wapi kupiga push ups zenyewe kama anahara
Anaogelewa wapi Ferry au Mbudya?Jamaa anapenda sana kujishughulisha.
Inasemwa kwenye routine yake ya kila siku huwa anapiga saa mbili akiogelea tu!
Na kuogelea ni zoezi linaloshirkisha mwili mzima.
Jambo moja la kufurahisha ni kwamba Putin alicheza na msichana bingwa wa Olimpiki wa mwaka 2016 aitwae Natalia Kuzyutina ambae aliweza kumwangusha Putin chini lakini sehemu ya picha hizo ikafanyiwa uchakachuaji.
😀😀😀Utasemaje Putin yuko fit ilhali kapigwa na DEMU?!!, Unasemaje akikutana na makomandoo wa kiume??!!🤣🤣🤣🤣
Hahaaa AiseKwa ukwasi alionao angekua kiongozi wa inchi mojawapo kwenye bara letu hili la Analogi angebweteka na kitambi plus kisukari
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu jamaa ni lijasusi hilo tena lililo bobea unatarajia mtu huyo atakuwaje "!?Jamaa anapenda sana kujishughulisha.
Inasemwa kwenye routine yake ya kila siku huwa anapiga saa mbili akiogelea tu!
Na kuogelea ni zoezi linaloshirkisha mwili mzima.
Hahaa atakaye weza kumnyooshea kidole nani sasa !? ThubutuuuSubiri akitoka madarakani hayo maswali yako lbda atapatikana kiongozi mwenye utashi wa kuhoji huo ukwasi chanzo chake, ila ww jua kua putin ni mkwasi c haba
Sent using Jamii Forums mobile app