Rais wa Urusi, Vladimir Putin, amewakaribisha na kuwalisha ice cream viongozi mbalimbali kutoka bara la Afrika waliofika nchini humo.
Tukio hili limetokea wakati wa ziara yao katika maonyesho ya teknolojia ya kisasa yaliyofanyika mjini Moscow, yakiwa ni pembezoni mwa Mkutano wa Kilele wa Russia-Africa (Russia-Africa Summit) iliwa ni moja ya njia ya kuonesha ukarimu kwa wageni waliofika.
Katika mkusanyiko huo uliojaa msisimko na ushirikiano mzuri, Rais Putin hakutumia tu lugha yake ya asili, bali pia alionekana akizungumza kwa ufupi kwa lugha ya Kiingereza wakati wa mazungumzo na mwingiliano wake na viongozi hao.
Ziara hiyo na maonyesho hayo inaleta pamoja wajumbe kutoka Urusi na nchi mbalimbali za Afrika ili kukagua na kugundua ubunifu wa kiteknolojia, huku viongozi hao wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya shughuli za mkutano huo wa kilele.