kwanini?Nadhani huko mpaka ice cream zina alcohol
Kule vodka ni kama urojo hapa zenj.kwanini?
Kwahio zitafanikiwa kwa kuungana na wauaji wa westViongozi wa kiafrika hawatafanikiwa kwa kuungana muuaji Putin. Wasome historia, akina Nyerere walijifanya kuwazira magharibi wakaungana na warusi na wachina mpaka leo nchi zao zina wanasafocate kiuchumi magharibi wakiminya misaada yao.
Huko Malawi , Kenya , walikoungana na Hao magharibi mbona wanakimbilia huku kwetu?Viongozi wa kiafrika hawatafanikiwa kwa kuungana muuaji Putin. Wasome historia, akina Nyerere walijifanya kuwazira magharibi wakaungana na warusi na wachina mpaka leo nchi zao zina wanasafocate kiuchumi magharibi wakiminya misaada yao.