Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Mkitaka kumfananisha Vladmir Putin na Pombe Magufuli ni vyema kuangalia uongozi wao umeleta tija gani kwenye mataifa yao na tusiwafananishe kwa vyeo vyao.
 
Subutuu. Ujinga huo wanatufanyia sisi tu huku walalahoi, hupo hutowasikia U.S.A wala washirika wake wote.
Ndo ujue marekani hapiganii democracy yoyote yeye yupo ki masilahi zaidi na hua anatafuta umaarufu tu na ubabe wa ovyo kwenye ndogo.

Hapa nasubiri nione je wanaharakati wa Russua wataenda kwenye International forums kudai haki Kama kina Zitto.
Watu hawajui ni nini maana ya haki?

Hususan sisi Waafrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajichanganya mwenyewe.
Putin akae tu hata milele hakuna shida [emoji4][emoji4][emoji4]

Ila anachofeli huyu mwamba nikutokuandaa taasisi imara ambazo zitaweza kuiendesha russia bila ya PUTIN

Ijapokua kwasasa kuna RUSSIA Imara Chini ya PUTIN

Hitimisho Akaetu Hata Milele Atolewe Madarakani Nakifo tu Hakuna Shida Kwaupande Wangu Lakini...[emoji4][emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom