Rais Putin kubaki madarakani mpaka mwaka 2036

Mkitaka kumfananisha Vladmir Putin na Pombe Magufuli ni vyema kuangalia uongozi wao umeleta tija gani kwenye mataifa yao na tusiwafananishe kwa vyeo vyao.
 
Watu hawajui ni nini maana ya haki?

Hususan sisi Waafrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angela Merkel yuko madarakani kabla ya Putin na hakuna anayelalamika
 
Unajichanganya mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…