Rais Ramaphosa ailaumu NATO kwa mgogoro wa Urusi na Ukraine

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
1648022332445.png

Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi.

Ramaphosa anasema anapendelea mazungumzo badala ya silaha au vikwazo vya kiuchumi akimaanisha vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Russia kutoka Marekani na washirika wa magharibi baada ya uvamizi huo, ambao sasa ni wiki yake ya nne.

Vita hivyo vingeepukika kama NATO ingezingatia maonyo kutoka kwa viongozi na maafisa wake kwa miaka mingi, kwamba upanuzi wake wa mashariki ungesababisha kukosekana kwa utulivu katika eneo hilo, Ramaphosa aliliambia bunge alhamisi wiki iliyopita.

Lakini aliongeza kuwa Afrika kusini haiwezi kuunga mkono matumizi ya nguvu, na ukiukaji wa sharia za kimataifa. Rais wa Afrika kusini alisema nchi yake iliombwa kuwa mpatanishi katika mzozo huo lakini hakumtaja ni nani aliyeiomba Afrika kusini kuingilia kati.

VOA Swahili
 
Chanzo chenyewe VOA umbwa hawa
 
Tatizo Hapo Ni NATO kudharau Wenzao...Kufanya mauaji mengi ya watu Dunia nzima hii... Mfano Libya na maeneo mengine hawa jamaa washenzi sanaaa...
NATO kuua huko.mashariki ya kati ina uhusiano gani na Urus kuivamia Ukraine?
 
NATO chini ya kiranja wao mbwa mkubwa walichangia na wanaendelea kwa maslahi mapana ya mataifa yao huku mamilioni ya watu libya,ukraine,iraq n.k wakiachwa na makovu ya kudumu...
 
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi.

Chanzo chenyewe VOA umbwa hawa
Wakati hata rais wa Ukraine amesema nato ni waoga
 
Uhuru wa nchi zetu,una mipaka. Kilichobaki ni mapinduzi ya fikira shikizi za watu wanaojiita wa hisani na wawekezaji katika nchi zetu!!!!
 
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi.

Ramaphosa anasema anapendelea mazungumzo badala ya silaha au vikwazo vya kiuchumi akimaanisha vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Russia kutoka Marekani na washirika wa magharibi baada ya uvamizi huo, ambao sasa ni wiki yake ya nne.

Vita hivyo vingeepukika kama NATO ingezingatia maonyo kutoka kwa viongozi na maafisa wake kwa miaka mingi, kwamba upanuzi wake wa mashariki ungesababisha kukosekana kwa utulivu katika eneo hilo, Ramaphosa aliliambia bunge alhamisi wiki iliyopita.

Lakini aliongeza kuwa Afrika kusini haiwezi kuunga mkono matumizi ya nguvu, na ukiukaji wa sharia za kimataifa. Rais wa Afrika kusini alisema nchi yake iliombwa kuwa mpatanishi katika mzozo huo lakini hakumtaja ni nani aliyeiomba Afrika kusini kuingilia kati.

VOA Swahili
Huyu kiongozi ni mkweli mnoo sio wengine wanapindishapindisha tu maneno kisa misaada.... Keep it up Prezda Ramaphosa.
 
Wachambuzi wa masuala ya siasa wanasema Rais wa Afrika kusini, Cyril Ramaphosa amepunguza ushawishi wake kama mpatanishi wa mgogoro wa vita nchini Ukraine akiwa na pendekezo lenye utata kwamba hatua za NATO ndizo za kulaumiwa kwa uvamizi wa Russia dhidi ya jirani yake wa magharibi.

Ramaphosa anasema anapendelea mazungumzo badala ya silaha au vikwazo vya kiuchumi akimaanisha vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Russia kutoka Marekani na washirika wa magharibi baada ya uvamizi huo, ambao sasa ni wiki yake ya nne.

Vita hivyo vingeepukika kama NATO ingezingatia maonyo kutoka kwa viongozi na maafisa wake kwa miaka mingi, kwamba upanuzi wake wa mashariki ungesababisha kukosekana kwa utulivu katika eneo hilo, Ramaphosa aliliambia bunge alhamisi wiki iliyopita.

Lakini aliongeza kuwa Afrika kusini haiwezi kuunga mkono matumizi ya nguvu, na ukiukaji wa sharia za kimataifa. Rais wa Afrika kusini alisema nchi yake iliombwa kuwa mpatanishi katika mzozo huo lakini hakumtaja ni nani aliyeiomba Afrika kusini kuingilia kati.

VOA Swahili
Kumbe Africa bado tunao viongozi wasema kweli
 
Mie nacheka sana Nato wanavyomjaza Zelensky kwa kuhutubia mabunge yao kila siku. Jamaa anajiona ni shujaa wa dunia, ila ukweli anaujua usiku akilala.

Nato na urusi wanatafuta uwanja wa kutest silaha, na kuuza silaha. Vita hivi 'prox wars' hazijaanza leo wala jana. Poor Zelensky anatumika vibaya.
 
Huu uzi wamarekani na waulaya weusi huwezi kuwaona.
 
Tatizo Hapo Ni NATO kudharau Wenzao...Kufanya mauaji mengi ya watu Dunia nzima hii... Mfano Libya na maeneo mengine hawa jamaa washenzi sanaaa...
hivi Marekani kuwababua Libya na Iraq unasikitka kweli? Libya ya Qadafi si ilitupeleka vitani na Uganda au umesahau? Si unakumbuka Qadafi alimkemea Nyerere na kusema ukimpiga amin na uganda ni sawa na kuipiga Libya? mwaka 1978 ulikuwa na umri gani?unakumbuka jinsi Qadafi alivyo finance mapinduzi ya Liberia na kuuwawa kwa Tolbert. wewe unamkumbuka na kumlilia nyoka jeusi la africa?
 
Back
Top Bottom