Tango73 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2008 Posts 2,180 Reaction score 1,291 Mar 24, 2022 #21 Hawa ANC walinyankuliwa Tonge la kuitawala Azania kiitikadi ya Urrusi. sishangai kwa nini wanailamu NATO. chuki zao kwa NATO zilianzia mbali sana . hivi sasa wapowapo tuu
Hawa ANC walinyankuliwa Tonge la kuitawala Azania kiitikadi ya Urrusi. sishangai kwa nini wanailamu NATO. chuki zao kwa NATO zilianzia mbali sana . hivi sasa wapowapo tuu
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 Mar 24, 2022 #22 Cheers Ramaphosa Nalog off
A antimatter JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 47,274 Reaction score 126,778 Mar 24, 2022 #23 Waterloo said: Huu uzi wamarekani na waulaya weusi huwezi kuwaona. Click to expand... 😂 Humu watajazana Warusi weusi kibao!
Waterloo said: Huu uzi wamarekani na waulaya weusi huwezi kuwaona. Click to expand... 😂 Humu watajazana Warusi weusi kibao!