Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Rais William Ruto ametoa wito wa kushtakiwa kwa Mchungaji #PaulMackenzie kuhusiana na vifo zaidi ya 40 vya wafuasi wake ambao aliwaagiza kufunga kula hadi kufa na miili yao kugunduliwa ilizikwa katika #ShakaholaForest huko #Kilifi
Akizungumza wakati wa Gwaride la Maafisa Magereza Aprili 24, amesema kuwa Mchungaji huyo alikuwa gaidi aliyewaamuru Wakenya kufanya vitendo vilivyo kinyume na kanuni za Katiba
Amesema, "Tunachokiona Kilifi, Shakahola, ni sawa na ugaidi. Hakuna tofauti kati ya Bw. Mackenzie anayejifanya mchungaji na hali ni mhalifu wa kutisha. Magaidi hutumia dini kuendeleza vitendo vyao viovu"
Pia amemeagiza ofisi ya #DCIKenya kuchunguza Wachungaji wanaotumia Dini kufanya vitendo viovu na kuwachukulia hatua ikiwemo kufungia Makanisa yao
.........
President William Ruto called for the prosecution of Pastor Paul Mackenzie over the deaths of several of his followers whose bodies were discovered buried at Shakahola Forest in Kilifi.
Speaking during the Prison Officers Pass Out Parade on Monday, April 24, the Head of State likened the pastor to a terrorist for ordering Kenyans to do acts contrary to the tenets of the Constitution.
Ruto further condemned religious groups that asked Kenyans to refrain from going to the hospital when sick or prohibited children from going to school.
"Look out for those who want to abuse even the religious sector by masquerading as religious people yet what they do is contrary to the teachings and to the beliefs of the religion whether they are Christians, Muslims or any other religion.
"What we are seeing in Kilifi, Shakahola, is akin to terrorism. There is no difference between Mr Mackenzie who pretends and postures as a pastor when in fact he is a terrible criminal. Terrorists use religion to advance their heinous acts. People like Mr Mackenzie are using religion to do exactly the same thing," he stated.
The President, therefore, directed security agencies, including the Directorate of Criminal Investigations (DCI), to carry out thorough investigations against pastors abusing their place in religion to commit heinous acts.
Source: Kenyans.co.Ke