Rais Ruto aagiza Mchungaji Mackenzie ashtakiwe, asema ni gaidi

Ni unafiki kwa mtu anayeamini dini moja kubwa na ya kale ya uongo kumsema mwingine anayeamini dini ndogo na mpya kuwa gaidi.

Hizi dini zote zinazohubiri Mungu mkali anayechoma watu moto ni dini za ugaidi.

By the very definition of ugaidi.
 
Huyo huko huko selo mnamalizana nae!,inatangazwa tu amekufa ghafra kwisha,maaana huwezi jua pengine kuna wapumbavu wanamuona Shuja huyo.
 
Rutto ana uhakika gani kwamba waliokufa hawajaenda mbinguni ??? Maana ndo ilikuwa ahadi/makubaliano yao. Hahaha
Na je Mchungaji naye anauwakika gan kwamba waliokufa wameenda mbinguni..[emoji23][emoji23][emoji23]ngomaa droo
 
Ni unafiki kwa mtu anayeamini dini moja kubwa na ya kale ya uongo kumsema mwingine anayeamini dini ndogo na mpya kuwa gaidi.

Hizi dini zote zinazohubiri Mungu mkali anayechoma watu moto ni dini za ugaidi.

By the very definition of ugaidi.
Mkuu hapo US ni saa ngapi sahivi ?
 
Tanzania nao wakae mguu pande
Hizi dini,manabii wanazidi kuwafanya
Watu wawe wendawazim

Ova
 
Wazungu walipojua kuwaweza wa Africa ni kuwaletea Dini ya Kikristo, yaan wamewapumbazaaa kila fyuzi ya ubongoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipoo mbna. Lol
Waarabu walituletea nini nao

Ova
 
nalipenda kanisa Mungu, lazima kila kitu tunachoambiwa kitoke kwenye biblia, la sivyo hata uambiwe na kiongozi mkuu wa kanisa kufanya kitu chenye hakiko kwenye biblia, tunampinga wazi
tufuate maandiko
 
nalipenda kanisa Mungu, lazima kila kitu tunachoambiwa kitoke kwenye biblia, la sivyo hata uambiwe na kiongozi mkuu wa kanisa kufanya kitu chenye hakiko kwenye biblia, tunampinga wazi
tufuate maandiko
Mkuu mm nimetia ndimu tu kwenye mjadala kuchangamsha baraza huo siyo msimamo wangu kwenye jambo husika!
Hakika mm nachukizwa na huu utiritiri wa haya makanisa haswa ukizingatia wanaokamuliwa ni watu maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…