Rais Ruto ajinasibu kuwa yeye ndiye Rais msomi zaidi kuwahi kuchaguliwa nchini Kenya

Rais Ruto ajinasibu kuwa yeye ndiye Rais msomi zaidi kuwahi kuchaguliwa nchini Kenya

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Rais William Ruto: Watu wengi hawaelewi kwa nini nafanya kazi kwa bidii kubadilisha Kenya. Baadhi wanasema nafanya mambo mengi sana katika muhula wangu wa kwanza kiasi kwamba ningesukuma miradi mingine kwa muhula wa pili. Ni kwa sababu nina uzoefu na pia ni msomi. Mimi ndiye Rais msomi zaidi ambaye Wakenya wamewahi kumchagua, hivyo lazima nifanye kila kitu ili Kenya ikiwiane na nchi kama Korea.
1757685540118.png
 
Back
Top Bottom