johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Dunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka 😀😀
Mlale Unono!