Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi

Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi

Sasa kama lengo ni kupitisha kila raisi anachotaka na serikali yake kwa sababu anaamini kuwa ni sawa, sasa bunhe la kazi gani kama si kuchoma pesa bure. Si lifutwe tu, raisi na mawaziri wake wawe wanapanga na kutekeleza tu walichopanga kuliko maigizo ya kupiga kura na kuwalipa mishahara watu ambao unajua kabisa hawawezi pinga maana wakipinga utawashughulikia
Umenena !! Na ndio maana tunaamini kwa Kenya hicho kitu hakiwezi kufanyika huo ni mkwara tu !!
 
Hata kitaifa, ni wavuta bangi na washikishwa ukuta wachache hawamkubali na ni jambo la kawaida. Tatizo liko kwamba washikishwa ukuta wanataka kulazimisha hata wale tunaomkubali Magufuli tusimkubali.
Mkuu kwa maandishi haya bado hujapona. Mwenzake alishakufa Iko hivyo haitabadilika. Punguza huzuni uboresha afya yako ya akili.
 
Mkuu kwa maandishi haya bado hujapona. Mwenzake alishakufa Iko hivyo haitabadilika. Punguza huzuni uboresha afya yako ya akili.
Ni kweli alishakufa, kila mtu atakufa, Nyerere, Mandela na hata mtume Mohamed walishakufa lakini wanaendelea kuzungumzwa vizuri kwa sababu ya legacy walioiacha. Wewe utakufa na haluna atakaekuzungumzia so kifo sio hoja hapa.
 
Hivi alikua shujaa Kwa nani??Kwa Mungu,watanzania au wasukuma wenzie??Mungu fundi,alitusaidia wanyonge
 
Back
Top Bottom