johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimemsikia ila alisema kuhusu mswada mpya wa Kodi kutoka 3% hadi 5% ambayo wakenya wanaikataaDunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka [emoji3][emoji3]
Mlale Unono!
🤣🤣Jiwe anakubalika kimataifa!Kenya wanalo 🤣🤣🤣
Kwa Kenya na Katiba yao ilivyo Ruto hana Ubavu huo ! Ni mkwara tu !Dunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka 😀😀
Mlale Unono!
Ni Dormant tu ndie ata support mentality kama hizi!!Dunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka 😀😀
Mlale Unono!
NdioDuh! Ndo legacy mloachiwa
Rutto ni Magufuli aliyezaliwa Kenya baada ya kufa na kuzikwa Tanzania. Watajuta kumchaguaDunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka 😀😀
Mlale Unono!
Sasa kama lengo ni kupitisha kila raisi anachotaka na serikali yake kwa sababu anaamini kuwa ni sawa, sasa bunhe la kazi gani kama si kuchoma pesa bure. Si lifutwe tu, raisi na mawaziri wake wawe wanapanga na kutekeleza tu walichopanga kuliko maigizo ya kupiga kura na kuwalipa mishahara watu ambao unajua kabisa hawawezi pinga maana wakipinga utawashughulikiaDunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka 😀😀
Mlale Unono!
Hajawahi kuwa shujaaDunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka [emoji3][emoji3]
Mlale Unono!
Sahihi kabisaKwa Kenya na Katiba yao ilivyo Ruto hana Ubavu huo ! Ni mkwara tu !
Wewe unajua kwa hakika nini hutokea baada ya mtu kufa? Je, umesahau ile amri ya usihukumu usije kuhukumiwa? What if alitubu nyakati za mwisho na yuko peponi kwa sasa?sasa lenyewe linaungua na moto kumanina
Hata sisi wananchi tumestuka,Dunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na serikali
Rais Ruto ameunga mkono utaratibu utakaotumika kupitisha Finance bill wa kura ya Wazi kwa kila mbunge ili wale wanaopinga Wajulikane
Mtanikumbuka 😀😀
Mlale Unono!
Anaweza kusamehewa kweli?Wewe unajua kwa hakika nini hutokea baada ya mtu kufa? Je, umesahau ile amri ya usihukumu usije kuhukumiwa? What if alitubu nyakati za mwisho na yuko peponi kwa sasa?
Hakuna Lisilowezekana kwa Mungu!Anaweza kusamehewa kweli?
Kwa namna katiba ya Kenya ilivyo, rais ni kama afisa wa kawaida tu wa serikali.Kwa Kenya na Katiba yao ilivyo Ruto hana Ubavu huo ! Ni mkwara tu !
😳🤣🤣Jiwe anakubalika kimataifa!
Hata kitaifa, ni wavuta bangi na washikishwa ukuta wachache hawamkubali na ni jambo la kawaida. Tatizo liko kwamba washikishwa ukuta wanataka kulazimisha hata wale tunaomkubali Magufuli tusimkubali.🤣🤣Jiwe anakubalika kimataifa!