Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu.

Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa.
IMG_1424.jpeg
IMG_1426.jpeg
IMG_1425.jpeg
 
Mambo ya wana siasa hayo 😄
Zamani nilikuwa nadhani chadema wakishagombana na ccm halafu baadaye unamwona lissu anadance na mama anna makinda wakati walitibuana bungeni, au baadaye nawaona ikulu kwa Kikwete nilikuwa nakasirika naona wanatubeba ufala.
Ila sasa naona ile ndiyo ilikuwa siasa safi. Mtabishana mtafukuzana hadi bungeni lakini hakuna kuwindana baada ya hapo na kuuana, mkikutana mahali mnacheka na kufurahi. Ndiyo maana walikuwa wanasema Lissu na anna makinda walikuwa marafiki.
Ila sasa hivi siasa imekuwa kama vita aisee.
 
Siasa kama mpira wa miguu
Uwanjani mnakatana mitama mechi ikiisha mna peana mikono mna badilishana jezi
 
Back
Top Bottom