Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

Mbio za sakafuni huishia ukingoni.Huu ni msemo wa kuwakumbusha wale wanaojifanyaga ni wajanja sana na hawawahitaji wengine na huwabeza.

Bwana Ruto ambae ni Rais wa Kenya aliingia Kwa mbwembwe nyingi huku akimponda mtangulizi wake bwana Uhuru Kenyatta na kumghasi Kwa kutumia vyombo vya Dola.

Ila muda ni Mwalimu mzuri,umempa majibu bwana Ruto kwamba usiwadharau wakunga wa Kisiasa kabla hujazaa.

Haya Sasa unalazimika kwenda Kwa Uhuru kishingi upande Ili upate abc za kuingiza Nchi maana Kila unalofanya Wakenya wanalipinga na hawakutaki maana Yale ukiyowaaminisha yamekuwa kinyume chake.

View: https://www.instagram.com/p/DDXFHF_qrjd/?img_index=1&igsh=b2FvZTU0MHpsdTRw

My Take
Uwanja mwingi mbele Giza.
 
Na Ile 98% landslide victory imetoka wapi? 😁😁
Magumashi tu. Hata wao wanajua wana miaka 63 hadi sasa lakini wanakuja na sera ukiwachagua watakuletea maji barabara na huduma za afya nk ukiwauliza hapo awali nani alikuwa anatawala kama sio wao? wameshindwa vipi kuleta maji kwa miaka yote 60 iliyopita?
 
Back
Top Bottom