Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kale kamsemo ka "When a man finally understands that his father was right, he often finds himself with a son who believes his father is wrong."Ameenda kumwambia sasa nimekuelewa kwa nini ulinikasirikia 😅😅🤣🤣
Aiseee huu msemo hatari sana. Reality is hard manKale kamsemo ka "When a man finally understands that his father was right, he often finds himself with a son who believes his father is wrong."
Zamani nilikuwa nadhani chadema wakishagombana na ccm halafu baadaye unamwona lissu anadance na mama anna makinda wakati walitibuana bungeni, au baadaye nawaona ikulu kwa Kikwete nilikuwa nakasirika naona wanatubeba ufala.Mambo ya wana siasa hayo 😄
Siasa kama mpira wa miguuZamani nilikuwa nadhani chadema wakishagombana na ccm halafu baadaye unamwona lissu anadance na mama anna makinda wakati walitibuana bungeni, au baadaye nawaona ikulu kwa Kikwete nilikuwa nakasirika naona wanatubeba ufala.
Ila sasa naona ile ndiyo ilikuwa siasa safi. Mtabishana mtafukuzana hadi bungeni lakini hakuna kuwindana baada ya hapo na kuuana, mkikutana mahali mnacheka na kufurahi. Ndiyo maana walikuwa wanasema Lissu na anna makinda walikuwa marafiki.
Ila sasa hivi siasa imekuwa kama vita aisee.
Kabisa mkuu na ndiyo raha yake hiyo.Siasa kama mpira wa miguu
Uwanjani mnakatana mitama mechi ikiisha mna peana mikono mna badilishana jezi
Umejua hili kwa kuangalia hizi picha tu au una data nyingine zaidi ya hizi picha?Nyumba ya kawaida sana
Matajiri wa kenya wanajua kujenga nyumba bhanaNyumba ya kawaida sana
Mlango wa Zanzibar Gatundu?Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu.
Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa .
View attachment 3173162View attachment 3173163View attachment 3173164