Rais Ruto apiga Marufuku Kusafiri Nje ya Nchi bila kibali cha Rais

Rais Ruto apiga Marufuku Kusafiri Nje ya Nchi bila kibali cha Rais

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
19,582
Reaction score
14,167
Trending news huko Kenya..

Kuna Tetesi kwamba Rais wa Kenya amewapiga Marufuku waliokuwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali Chini ya Serikali ya Kenyatta Kusafiri Nje ya Nchi mpaka kwa Kibali cha Rais.

Ikumbukwe Makamu wa Rais wa Kenya alitamka hadharani kwamba wamerithi Nchi iliyofilisika na yenye mzigo mkubwa wa Madeni..

Swali je Ruto atakuwa Magufuli wa Kenya na kufuata siasa kali za Utaifa? 👇
Screenshot_20220922-164146.png
 
Hajatoa sababu kwanini amefanya hivyo?

Kama ni kusevu pesa nitamuelewa, lakini kwanini afanye hivyo kwa hao waliokuwa awamu ya Kenyatta? kama hawaamini awapige chini ateue wa kwake.

Namuona Ruto anakaushamba fulani hivi.
 
Hajatoa sababu kwanini amefanya hivyo?

Kama ni kusevu pesa nitamuelewa, lakini kwanini afanye hivyo kwa hao waliokuwa awamu ya Kenyatta? kama hawaamini awapige chini ateue wa kwake.

Namuona Ruto anakaushamba fulani hivi.
Hapana brother, Ruto NI Hustler tena mtoto WA mjini kweli kweli
 
Nothing permanent including Managment and Administration as well as leadership
Mzee Wakenya wakae sawa liwalo na liwe
 
Kiongozi yoyote mwenye hata tu average IQ atapiga marufuku kusafiri nje kwa kila mtu kila wakati, lkn Tanzania wanasafiri na ndege ya kukodi mpaka Dubai, wanaweka picha ya raisi mnara mzima wa Burj, walienda USA karibia wiki 2 wanakodi Qatar yote, hayo yote kati ya nchi masikini ambayo hata kulipa mishahara ni shida.

Magufuli was one of the most intelligent Leaders, na utachukuwa muda mrefu sana kupata Kiongozi mwenye high IQ Tanzania.
 
Back
Top Bottom