Rais Ruto apiga Marufuku Kusafiri Nje ya Nchi bila kibali cha Rais

Rais Ruto apiga Marufuku Kusafiri Nje ya Nchi bila kibali cha Rais

Safi sana nchi itapiga maendeleo zaidi tofauti na kule tanzania kila siku viongozi wao wanapishana angani tu na hakuna cha maana wanacholeta zaidi ya hasara tu
 
Trending news huko Kenya..

Kuna Tetesi kwamba Rais wa Kenya amewapiga Marufuku waliokuwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali Chini ya Serikali ya Kenyatta Kusafiri Nje ya Nchi mpaka kwa Kibali cha Rais.

Ikumbukwe Makamu wa Rais wa Kenya alitamka hadharani kwamba wamerithi Nchi iliyofilisika na yenye mzigo mkubwa wa Madeni..

Swali je Ruto atakuwa Magufuli wa Kenya na kufuata siasa kali za Utaifa? 👇
View attachment 2365325
Huyu ataongoza kwa shida sana. Maana bungeni kafunikwa. Na bunge la Kenya sio kama lile la TRAB na TRAT Yayayayayaa
 
Back
Top Bottom