Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye asili ya kihindi kilichotokea siku mbili zilizopita

"wananchi musiwe na wasiwasi wa kutokewa na wahindi kuwaongelesha kiingereza,wakola wote hata kama ni akina Rai lazima washughurikiwe"

note:Rai ndio billionaire aliyetekwa
 
Watu masikini hawawezi kunipa Presha,
cheki jinsi Kenya ilivyozungukwa na nchi zinazonuka umasikini hapa 👇
IMG_20230910_172957.jpg
 
Habari bila picha Dunia ya sasa sawa n takataka tu
 
Mngekuwa matajiri mngeenda kuosha vyombo saudi Arabia
dogo,,, Saudia ndio habari ya mjini kwa sasa, kina Mo Salah, Neymar, Ronaldo,,, wataje wote, wako huko saa hizi tunavyoongea na wanapiga hela ndefu tu. jitahidi ili uweze kuwahi mapema kabla hakujajaa kama mwenzako hapa 👇
IMG_20230910_195655.jpg
 
dogo,,, Saudia ndio habari ya mjini kwa sasa, kina Mo Salah, Neymar, Ronaldo,,, wataje wote, wako huko saa hizi tunavyoongea na wanapiga hela ndefu tu. jitahidi ili uweze kuwahi mapema kabla hakujajaa kama mwenzako hapa 👇View attachment 2745203
Unajilingajisha na MO Salah,nyinyi wakenya huko saudia ni ma-house girl na kuuza matako kwa waarabu
 
Ilikuwa, kauri ya kawaida, katika kufikisha ujumbe kwa Hao mabilionea waliokuwa wanajiona ni "untouchable" Hawagusiki! Unatuma vijana wa, intelijensia wanamteka MTU mchana, kweupe! Mnamficha anakula, makofi matatu, mnamuonesha taarifa zake za ndani, mlizonazo, anaambiwa aache kuleta kiburi na kushitaki serikali,bila hivyo, anazamishwa baharini!
alifanya, hivyo Maghu kwa Mo !
Ni, njia nzuri ya serikali kufikisha, ujumbe
 
Back
Top Bottom