Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye asili ya kihindi kilichotokea siku mbili zilizopita

"wananchi musiwe na wasiwasi wa kutokewa na wahindi kuwaongelesha kiingereza,wakola wote hata kama ni akina Rai lazima washughurikiwe"

note:Rai ndio billionaire aliyetekwa
 
Habari bila picha Dunia ya sasa sawa n takataka tu
 
Mngekuwa matajiri mngeenda kuosha vyombo saudi Arabia
dogo,,, Saudia ndio habari ya mjini kwa sasa, kina Mo Salah, Neymar, Ronaldo,,, wataje wote, wako huko saa hizi tunavyoongea na wanapiga hela ndefu tu. jitahidi ili uweze kuwahi mapema kabla hakujajaa kama mwenzako hapa πŸ‘‡
 
Unajilingajisha na MO Salah,nyinyi wakenya huko saudia ni ma-house girl na kuuza matako kwa waarabu
 
Unajilingajisha na MO Salah,nyinyi wakenya huko saudia ni ma-house girl na kuuza matako kwa waarabu
πŸ˜„πŸ˜„ wewe ni maskini bhana. hebu msikize ndugu yako alivyo na uchu wa kuenda ughaibuni hapa πŸ‘‡
 
Ilikuwa, kauri ya kawaida, katika kufikisha ujumbe kwa Hao mabilionea waliokuwa wanajiona ni "untouchable" Hawagusiki! Unatuma vijana wa, intelijensia wanamteka MTU mchana, kweupe! Mnamficha anakula, makofi matatu, mnamuonesha taarifa zake za ndani, mlizonazo, anaambiwa aache kuleta kiburi na kushitaki serikali,bila hivyo, anazamishwa baharini!
alifanya, hivyo Maghu kwa Mo !
Ni, njia nzuri ya serikali kufikisha, ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…