johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Salama ya Urais wa Ruto ni Odinga kuondoka kwenye Siasa za Kenya.Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza
Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa
Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria
Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo ππ
πππMAGUFULI ALIKUWA KATILI NA ROHO MBAYA.JPO KUNA MAZURI MENGI AMEYAFANYA
Lakini Magu asingeweza hilo piaSalama ya Urais wa Ruto ni Odinga kuondoka kwenye Siasa za Kenya.
Kwahiyo Ruto anafanya hivyo Kwa maslahi yake.
Hata Rutto hajaanza kirahisi hivyo. Maana awali Raila Odinga alikuwa BALOZI maalum wa miundombinu wa AU wakati wa Uhuru Kenyatta.Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza
Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa
Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria
Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo ππ
Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza
Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa
Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria
Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo ππ
Ni kwa mjinga kama wewe pekee ndie huwezi kujua kwamba Ruto anafurahia Raila akiondoka kwenye siasa za Kenya ndio itakuwa ahueni kwake!Hayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza
Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa
Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria
Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo [emoji3][emoji3]
Kenya huijui. Kwenye maslahi ya taifa, siku zote wanaweka tofauti za nyumbani kando! Ruto juzi kateuliwa kuwa champion wa reforms za AU (kachukua nafasi toka kwa Kagame). Ingawa personally sioni jipya kwa Raila, lakini hii nafasi anaweza kuipata. Na utaona wakenya watakavyofaidika na fursa za AU. Kenya wako vizuri sana kwenye kusaka fursa za nje.Salama ya Urais wa Ruto ni Odinga kuondoka kwenye Siasa za Kenya.
Kwahiyo Ruto anafanya hivyo Kwa maslahi yake.
Kwahiyo kwa kutoidhinisha jina la Membe kuna faida binafsi aliipata?Salama ya Urais wa Ruto ni Odinga kuondoka kwenye Siasa za Kenya.
Kwahiyo Ruto anafanya hivyo Kwa maslahi yake.
Ruto anataka kupata pumzi. Raila anamnyima raha Ruto kiupinzaniHayati Membe aliwahi Kulalamika kuwa Shujaa Magufuli hakuridhia Yeye akagombee nafasi ya juu kule Jumuiya ya Madola na hivyo Tanzania tukapoteza
Hapo Kenya mahasimu Wawili Rais Ruto kinara wa Kenya Kwanza na Raila kinara wa Azimio wameunda Timu ya Kampeni kuhakikisha Odinga anakuwa Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Africa
Ndani ya Timu ya Kampeni yumo Obasanjo wa Nigeria
Bongo sijui tunafeli Wapi, ngoja tuone Timu ya naniliu kama Chadema wamo ππ
Kwamba hicho kicheo cha kufanyia kwa msimu ata ukiwa nyumbani ndo imwondoe Odinga kwenye siasa za Kenya? Kubali tu kuwa Magufuli alikuwa na rohoo mbaya, sisi tulioishi nae karibu na tena kwake tunamjua zaidi.Ni kwa mjinga kama wewe pekee ndie huwezi kujua kwamba Ruto anafurahia Raila akiondoka kwenye siasa za Kenya ndio itakuwa ahueni kwake!
Pressure ya Raila na Azimio la umoja kuhusu server za uchaguzi ni kubwa na linamnyima usingizi Ruto na anazidi kukonda.
Magufuli alijua wabaya wake na ndio walikuwa wakinuwia kutumiza kile walichokifurahia!
Tunalijua hilo!
Siasa za wakenya waachieni wenyewe!
Jiulize kwa nini hawa waliuawa na system huko huko unapopasifia.
JM kariuki.
Thom Mboya.
Robert Ouko.
Masinde Murilo.
Keneth Matiba.
Jacob Juma.
Kalonzo Mutua sr.
Bila kumsahau yule Bwana Msando msimamizi wa IT wa uchaguzi alieuawa ili kidole chake kikakatwa kwenda kufungulia server systems za uchaguzi.
Msiwe mbashobokea vitu msivyo na ufahamu navyo.
AU wana fursa gani muhimu ambazo Kenya watapata mkuu?Kenya huijui. Kwenye maslahi ya taifa, siku zote wanaweka tofauti za nyumbani kando! Ruto juzi kateuliwa kuwa champion wa reforms za AU (kachukua nafasi toka kwa Kagame). Ingawa personally sioni jipya kwa Raila, lakini hii nafasi anaweza kuipata. Na utaona wakenya watakavyofaidika na fursa za AU. Kenya wako vizuri sana kwenye kusaka fursa za nje.
Ukweli usemwe waTanzania wengi bado sisi ni washamba na wabinafsi-especially viongozi wetu. Bado tunaamini siasa au tofauti ya mawazo ni uadui. Nakumbuka Jiwe siyo tuu alimbania Membe, huko Commonwealth. Aliwabania pia Dr. Likwelile na mama Mulamula huko African Union. Ingawa walikuwa na chance ya kupata hizo nafasi.
Kwa sasa hivi sijui mama ana mikakati gani tupate Katibu Mkuu wa Commonwealth kwenye uchaguzi utakaofanyika hivi karibuni. Ingebidi sasa hivi tuwe tunafanya campaign za kutosha!
Watanzania linapokuja swala la fursa za nje, tubadilike, tushikane mikono. As long as mtu ana vigezo, tumpambanie kadri ya uwezo wetu.
Wasukuma wanaelewa basiiK
Kwamba hicho kicheo cha kufanyia kwa msimu ata ukiwa nyumbani ndo imwondoe Odinga kwenye siasa za Kenya? Kubali tu kuwa Magufuli alikuwa na rohoo mbaya, sisi tulioishi nae karibu na tena kwake tunamjua zaidi.
Ukitaka kujua rohoo mbaya ya kikatili ya Marehemu Magufuli kamuulize Mdogo wake Goro na mdogo wake wa kike wapo kule Chato.
Roho mbaya Tu.Kwahiyo kwa kutoidhinisha jina la Membe kuna faida binafsi aliipata?