johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Maguful hakufurahia Membe kuondoka?🐼Ni kwa mjinga kama wewe pekee ndie huwezi kujua kwamba Ruto anafurahia Raila akiondoka kwenye siasa za Kenya ndio itakuwa ahueni kwake!
Pressure ya Raila na Azimio la umoja kuhusu server za uchaguzi ni kubwa na linamnyima usingizi Ruto na anazidi kukonda.
Magufuli alijua wabaya wake na ndio walikuwa wakinuwia kutumiza kile walichokifurahia!
Tunalijua hilo!
Siasa za wakenya waachieni wenyewe!
Jiulize kwa nini hawa waliuawa na system huko huko unapopasifia.
JM kariuki.
Thom Mboya.
Robert Ouko.
Masinde Murilo.
Keneth Matiba.
Jacob Juma.
Kalonzo Mutua sr.
Bila kumsahau yule Bwana Msando msimamizi wa IT wa uchaguzi alieuawa ili kidole chake kikakatwa kwenda kufungulia server systems za uchaguzi.
Msiwe mbashobokea vitu msivyo na ufahamu navyo.