Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Why Juma Aweso. Kwani Waziri wa Mambo ya Kigeni hakuwepo? Adadhali angeenda huyo!Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso.
Rais Ruto amewasili kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC utakaofanyika Nchini tarehe 8 Februari, 2025.
Soma Pia: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
Jumuiya zote mbili zinakutana kujadili namna ya kupata ufumbuzi kuhusu hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Taarifa za chini Chini, huyo Waziri anaandaliwa kushika wadhifa wa biteko ama wa Mzee wa RuangwaWhy Juma Aweso. Kwani Waziri wa Mambo ya Kigeni hakuwepo? Adadhali angeenda huyo!
Uongo hiyooo! Uongo buana!!!Taarifa za chini Chini, huyo Waziri anaandaliwa kushika wadhifa wa biteko ama wa Mzee wa Ruangwa
Kwahiyo ndiyo wanamuandaa Kwa diplomasia
Seriously!Juma Aweso?Taarifa za chini Chini, huyo Waziri anaandaliwa kushika wadhifa wa biteko ama wa Mzee wa Ruangwa
Kwahiyo ndiyo wanamuandaa Kwa diplomasia
Huyo ni mtoto pendwa wa Mama kwasasaSeriously!Juma Aweso?
Juma Aweso maneno mingiii lakini output/matokeo kiduuuuchu!
Turudi hapa November baada ya Uchaguzi Mkuu uone mwenzio atakuwa kwenye position ganiUongo hiyooo! Uongo buana!!!
Wageni wakiwa wengi, wanapokelewa na mawaziri husika ambao hupangwa. Kila waziri humpokea mgeni wakeWhy Juma Aweso. Kwani Waziri wa Mambo ya Kigeni hakuwepo? Adadhali angeenda huyo!
Nangae 🐼Huyo ni mtoto pendwa wa Mama kwasasa
Ametokea kuaminika sana na Mamlaka iliyopo
Waziri anawageni tayari....Mawqziri wa mambo ya nje mkutano ulikuwa bado unaendelea.Why Juma Aweso. Kwani Waziri wa Mambo ya Kigeni hakuwepo? Adadhali angeenda huyo!
mawaziri wa mambo ya nje wa EAC na SADC wako kwenye Vikao Vya sekretarieti kuandaa ajenda na mapendekezo ya mkutano wa kesho.Why Juma Aweso. Kwani Waziri wa Mambo ya Kigeni hakuwepo? Adadhali angeenda huyo!
Tusubiri Uchaguzi Mkuu ukamilike November Mwaka huu muone position atakayopewaNangae 🐼
Nashangaa watu wanajiaminishakwamba ccm itarudi kutawala. Mungu ameshapanga vinginevyo.Turudi hapa November baada ya Uchaguzi Mkuu uone mwenzio atakuwa kwenye position gani
Connection Baba
Hao possibility ya kushinda ni 55/45 Kwa kuwa wanatumia Dola kushinda UchaguziNashangaa watu wanajiaminishakwamba ccm itarudi kutawala. Mungu ameshapanga vinginevyo.
Kwanini apokelewe na waziri wa maji? Waziri wa mambo ya nje hakuwepo?Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso.
Rais Ruto amewasili kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC utakaofanyika Nchini tarehe 8 Februari, 2025.
Soma Pia: Rais Samia kuwa mwenyeji wa mkutano wa marais wa nchi za SADC na EAC kujadili Mgogoro wa DR Congo
Jumuiya zote mbili zinakutana kujadili namna ya kupata ufumbuzi kuhusu hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.