PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Huyu kijana anaonekana ni Mkora tu, na inaonyesha analala chini ya madaraja au vibarazani mwa maduka au kwenye mitalo huku akijifunika ngumi.
Haijarishi yupo informed kwa kiwango kipi, pamoja na kadhia zote hizi za maisha anayoyaishi, hakuzingatia hilo, ameungana na wenzake wenye magari, wenye makwao,, wenye elimu, wenye ajira zao, wenye biashara zao n.k😞😞
Haijalishi amedanganywa au ameambiwa ukweli😟, kinachojalisha ni kwamba yeye anaonekana yupo serious kuliko wote, mwili na sura vimebeba machungu kwa ajili ya nchi.
Tanzania inahitaji sana watu wa aina hii.
Ametoka chini ya madaraja ambapo ndiyo anaishi (huenda) hana hata meno ya kulia keki ya taifa, hana hata smartphone lakini ameungana na wenzake kwenda kuipambania Airport, na huenda kupitia maandamano hayo ndiyo mara yake ya kwanza kufika airport.
Akitoka kwenye kupambania Airport isiuzwe, anaagana vizuri na wenzake, wenzake wanapanda Magari kurudi makwao, yeye mdogomdogo anarudi zake chini ya daraja kuendelea na maisha yake.
Nashauri Ruto ampatie kijana huyu nishani, asiangalie how informed he is, bali aangalie dhamira iliyo ndani yake.