Huyu kijana anaonekana ni Mkora tu, na inaonyesha analala chini ya madaraja au vibarazani mwa maduka au kwenye mitalo huku akijifunika ngumi.
Haijarishi yupo informed kwa kiwango kipi, pamoja na kadhia zote hizi za maisha anayoyaishi, hakuzingatia hilo, ameungana na wenzake wenye magari, wenye makwao,, wenye elimu, wenye ajira zao, wenye biashara zao n.k😞😞
Haijalishi amedanganywa au ameambiwa ukweli😟, kinachojalisha ni kwamba yeye anaonekana yupo serious kuliko wote, mwili na sura vimebeba machungu kwa ajili ya nchi.
Tanzania inahitaji sana watu wa aina hii.
Ametoka chini ya madaraja ambapo ndiyo anaishi (huenda) hana hata meno ya kulia keki ya taifa, hana hata smartphone lakini ameungana na wenzake kwenda kuipambania Airport, na huenda kupitia maandamano hayo ndiyo mara yake ya kwanza kufika airport.
Akitoka kwenye kupambania Airport isiuzwe, anaagana vizuri na wenzake, wenzake wanapanda Magari kurudi makwao, yeye mdogomdogo anarudi zake chini ya daraja kuendelea na maisha yake.
Nashauri Ruto ampatie kijana huyu nishani, asiangalie how informed he is, bali aangalie dhamira iliyo ndani yake.
Umenikumbisha kanisan misa za asubuhi mkiwa mnatoka kanisan waumin wenzio wote wamekuja na magari kila mmoja anapanda ndiga lake wewe unaanza kukanyaga kwa mguu
Wapi nimemponda? Mimi nimeelezea uhalisia wako pamija na uhalisia huo lakini dhamira ya kweli kuhusu kile anachoakiamini unaiona ndani yake. Unawezaje kusema nimemponda?
Bila maelezo niliyoyaweka hapo isingeonekana huo uchungu wake
Wapi nimemponda? Mimi nimeelezea uhalisia wako pamija na uhalisia huo lakini dhamira ya kweli kuhusu kile anachoakiamini unaiona ndani yake. Unawezaje kusema nimemponda?
Bila maelezo niliyoyaweka hapo isingeonekana huo uchungu wake
Huyu kijana anaonekana ni Mkora tu, na inaonyesha analala chini ya madaraja au vibarazani mwa maduka au kwenye mitalo huku akijifunika ngumi.
Haijarishi yupo informed kwa kiwango kipi, pamoja na kadhia zote hizi za maisha anayoyaishi, hakuzingatia hilo, ameungana na wenzake walio park magari, wenye elimu, wenye ajira zao, wenye biashara zao n.k
Haijalishi amedanganywa au ameambiwa ukweli😅, kinachojalisha ni kwamba yeye anaonekana yupo serious kuliko wote, mwili na sura vimebeba machungu kwa ajili ya nchi.
Ametoka chini ya madaraja ambapo.
Tanzania inahitaji sana watu wa aina hii.ndiyo anaishi, hana hata meno ya kulia keki ya taifa, hana hata smartphone lakini ameungana na wenzake kwenda kuipambania Airport, na huenda kupitia maandamano hayo ndiyo mara yake ya kwanza kufika airport. Akitoka kwenye kupambania Airport isiuzwe, anaagana vizuri na wenzake, wenzake wanapanda Magari kurudi makwao, yeye mdogomdogo anarudi zake chini ya daraja kuendelea ma maisha yake.
Nashauri Ruto ampatie kijana huyu nishani, asiangalie how informed he is, bali aangalie dhamira iliyo ndani yake. View attachment 3095576
Ndiyo maana nikasema Ruto asiangalie how informed he is, bali aangalie dhamira ya huyo kijana na hatua alizozichukua. Kwangu huyo dogo ni Mkenya imara kabisa
Nimeshitushwa na maneno ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa alipokua akiwahutubia wananchi wa Iringa kuwa Mabomba ya gesi inayochimbwa Mtwara yanaelekezwa Ulaya badala ya kuelekezwa kwa wananchi wa Mtwara. Ameeleza hayo bila kufafanua ukweli wa jambo hilo. Source: ITV HABARIKatika taarifa ya...
Unakuwa umenunua siti ya basi kwa muda mpaka utakapofika unapokwenda. Au kwa lugha rahisi. Abiria wote wanakuwa wamelinunua basi kwa muda mpaka wafike vituoni kwao