Rais Ruto inabidi amuite huyu kijana Ikulu na kumpatia tuzo ya heshima ya Uzalendo

Unakuwa umenunua siti ya basi kwa muda mpaka utakapofika unapokwenda. Au kwa lugha rahisi. Abiria wote wanakuwa wamelinunua basi kwa muda mpaka wafike vituoni kwao

Nimekuchanganya mzee!!??

Kiswahili kigumu!?
Ooh kumbeee.

Ndiyo maana nadereva wanaamuwa kuwaondosha kwenda ahera na basi lao.
 
Wtz hawana wao bandari zao zote ziliuzwa na mama Samia na hakuna hatua waliyochukua.kweli jomo Kenyata alikuwa sahihi kusema watanzania ni maiti milele Kwa sababu hata uwakosee kiasi Gani hawawezi kudai haki zao
 
Ahsante, nimekuelewa.
Lugha aliyoitumia haina maana ya mabomba kama ulivyochagua kuelewa.
Uliponipatia hii link, sikuchagua nielewe kwa namna gani, balielewa alivyoikusudia ambapo wewe pia ulielewa lakini ukachagua
 
Ahsante, nimekuelewa.
Lugha aliyoitumia haina maana ya mabomba kama ulivyochagua kuelewa.
Uliponipatia hii link, sikuchagua nielewe kwa namna gani, balielewa alivyoikusudia ambapo wewe pia ulielewa lakini ukachagua
Chenga.
 
Tulia ww,Kenya 1/4 ya ardhi ya nchi inamilikiwa na Familia za Kenyatta,Ruto, Mdavad,Kalonzo na Rail na 1/4 nyingine ni jangwa hakuna rutuba.Mpo na matajiri wachache masikini wengi kama nzige na unemployment kubwana nchi yenu ina madeni hadi haikopesheki.
Kwa hali hiyo mna kila sababu za kuandamana,sisi Tanzania aridhi ya kumwaga watu wanapata mazao wengi hawalali njaa-Hawawezi ona umuhimu wa kuandamana.
 
Tiketi ni mkataba wa usafiri baina ya Msafiri na mwenye Basi.

Tiketi sio Risiti ya manunuzi.
Unajichanganya. Unaongelea kitu kimoja. Hapo fedha imetolewa kununua huduma so ticket ni mkataba wa manunuzi ya huduma
 
Ruto ni mafia. Ataishia kumuua
 
Umenikumbisha kanisan misa za asubuhi mkiwa mnatoka kanisan waumin wenzio wote wamekuja na magari kila mmoja anapanda ndiga lake wewe unaanza kukanyaga kwa mguu
Kuna kanisa la hivyo hapa bongo?
 
Inamsaidia nini? Tangu nilipogundua tunapoteza muda, niliamua kukaa kimya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…