Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo

Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali ambao hatua kwa hatua utaanza safari ya kupunguza bei ya mafuta,"

Pia ametetea uamuzi wa hivi karibuni wa kufuta baadhi ya ruzuku za mafuta
Kwa kusema kuwa hazifai na zinaweza kutumika vibaya

…………

Kenya open to buying fuel from Russia - Ruto

The Kenyan president, William Ruto, has told the BBC he's open to buying fuel from Russia.

Several countries have refused to engage with Moscow since the invasion of Ukraine but Mr Ruto said he's considering all available options.

"I am now going to move on to the agenda of making sure that we have government-to-government relationships that will progressively now begin the journey to bring the prices of fuel down," President Ruto said.

He added: "All options are available to us as a country."

Kenya is facing a deepening economic crisis, sending the price of food and fuel soaring.

Despite rising fuel prices Mr Ruto defended his decision last week to scrap some fuel subsidies.

He said they were unsustainable and prone to abuse.


Source: BBC
 
Hebu afungue njia tuone...huenda inawezekana
 
Kuweka mambo sawa, mpaka sasa vikwazo havijazuia nchi za kiafrica au Asia nk. kununua mafuta ya Russia.
 
Nilijua lazima utawajali watu wako hongera Kama utafanikiwa kuagiza mafuta Russia sio sisi huku
 
Raisi Ruto wa Kenya amesema nchi yake inajipanga kununua wese⛽ ⛽⛽ la Urusi ili kushusha makali ya bei ya nishati hiyo kwa wakenya akiwemo MK254 anayeshinda akibwabwaja hapa JF😅😂😂😂

SmartSelect_20220926-174508_Chrome.jpg

Screenshot_20220926-174625_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom