Rais Ruto nakushauri kuwa kama Hayati Magufuli

Rais Ruto nakushauri kuwa kama Hayati Magufuli

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Toa kipondo cha nguvu kwa hao wenye tamaa ya uongozi.

Wengine wafuatwe private home tandika bakora kama maalim seif alivoipata.

Nidhamu itakuwepo.

Badala ya kuacha watu wafanye kzi wao ni kuleta fujo
 
Huko Demokrasia Ipo Akifuata Ushauri Wako Rais Ataingia Matatizoni Maana Sheria Inamgusa Popote Alipo Hai Endapo Atawadhuru.

Bongo Pekee Katiba Inaruhusu Maandamano Anatoka Mtu Anazuia Maandamano Akijua Wazi Anavunja Katibu

NNaVyombo Vilivyoapa Kuilinda Vinatazama Vikiogopa Kuitetea
 
Ur joking!! Yaani waandamanaji hawana silaha uwapige risasi kisa wako Barabarani aisee sio kwa Kenya nayoifahamu. Vurugu itakayotokea ni lazima nchi iingie vitani na isitawalike. Raila anakubalika North Eastern, South East, Nairobi, Western na Nyanza yenye wapiga kura zaidi ya 50% so huwezi mpuuza mtu wa hivi.
 
Hahahaaa!!! Una mwingiza chaka. Je atakua tayri na mwisho kama wa uyo mtu? Dunia tamu
 
Back
Top Bottom