Ur joking!! Yaani waandamanaji hawana silaha uwapige risasi kisa wako Barabarani aisee sio kwa Kenya nayoifahamu. Vurugu itakayotokea ni lazima nchi iingie vitani na isitawalike. Raila anakubalika North Eastern, South East, Nairobi, Western na Nyanza yenye wapiga kura zaidi ya 50% so huwezi mpuuza mtu wa hivi.