Rais Ruto: Nitafanya kazi na Gen Z. Tayari nimeongeza Fedha za Mikopo ya Elimu ya Juu na Ajira Mpya, nitawakaribisha Ikulu tuyazungumze

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa

Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi

Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi wote wa Kenya wapate fursa ya kusoma na kulisaidia Taifa mbeleni hatutaki kuwa na Taifa la Vijana wasiotambua umuhimu wao kwa Taifa la Kesho ambalo Ruto na Odinga hatutakuwepo, amesisitiza

Credit: Citizen TV

"I am very proud of our young people. They have stepped forward tribeless, they have stepped forward peacefully and I want to tell them we are going to engage so that together we can build a better nation," Ruto said. "What I want to encourage them is that we are concerned about their issues.

Pia soma
 
Rais Dr Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa

Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi

Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi wote wa Kenya wapate fursa ya kusoma na kulisaidia Taifa mbeleni hatutaki kuwa na Taifa la Vijana wasiotambua umuhimu wao kwa Taifa la Kesho ambalo Ruto na Odinga hatutakuwepo, amesisitiza

Credit :Citizen TV
Huo ndio uongozi sasa! Kutumia akili kushawishi badala ya mabavu kulazimisha!
 
Rais Dr Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa

Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi

Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi wote wa Kenya wapate fursa ya kusoma na kulisaidia Taifa mbeleni hatutaki kuwa na Taifa la Vijana wasiotambua umuhimu wao kwa Taifa la Kesho ambalo Ruto na Odinga hatutakuwepo, amesisitiza

Credit :Citizen TV
Dr.William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto,
ni miongoni mwa wanasiasa wenye maono ya mbali sana, hasa ukijichanganya ukimpa nafasi na michrophone azungumze, lazma akuguse kwa neno la kukusifu na kukupa matumaini na lazima utatuliza ball tu :pedroP:
 
Usikubali kuburuzwa na wanasiasa na viongozi
Siyo kila jambo kolipitidhwa ndiooo ila kimoyomoyo unakaataa
Watanzania ni watu wa kukubali kila jambooo ila moyoni wanaumia

Ova
 
Huku kwetu wanaoitwa wanasiasa mahiri Akina Tundu Lisu wanaongelea mambo ya Abdul na mama yake Mama Abdul badala ya kujikita Kwenye hoja nzito za wananchi
🫨😖😖 huwa humsikilizi Lissu,Pambalu,Msigwa,nk au unataka tu kufurahisha Genge.
 
Usikubali kuburuzwa na wanasiasa na viongozi
Siyo kila jambo kolipitidhwa ndiooo ila kimoyomoyo unakaataa
Watanzania ni watu wa kukubali kila jambooo ila moyoni wanaumia

Ova
nidhamu ya woga imepelekea wengi kua na ghadhabu na mihemko ya kujificha ya kulaani jambo huku amejificha kwa aibu ya kua ataonekanaje kwa ndugu zake ambao ni viongozi, akilalamika na kutukana hadharani mchana kweupe 🐒
 
Back
Top Bottom