Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi wote wa Kenya wapate fursa ya kusoma na kulisaidia Taifa mbeleni hatutaki kuwa na Taifa la Vijana wasiotambua umuhimu wao kwa Taifa la Kesho ambalo Ruto na Odinga hatutakuwepo, amesisitiza
Credit: Citizen TV
"I am very proud of our young people. They have stepped forward tribeless, they have stepped forward peacefully and I want to tell them we are going to engage so that together we can build a better nation," Ruto said. "What I want to encourage them is that we are concerned about their issues.
Huku kwetu wanaoitwa wanasiasa mahiri Akina Tundu Lisu wanaongelea mambo ya Abdul na mama yake Mama Abdul badala ya kujikita Kwenye hoja nzito za wananchi

Huku kwetu wanaoitwa wanasiasa mahiri Akina Tundu Lisu wanaongelea mambo ya Abdul na mama yake .Mama Abdul badala ya kujikita Kwenye hoja nzito za wananchi
Rais Dr Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi wote wa Kenya wapate fursa ya kusoma na kulisaidia Taifa mbeleni hatutaki kuwa na Taifa la Vijana wasiotambua umuhimu wao kwa Taifa la Kesho ambalo Ruto na Odinga hatutakuwepo, amesisitiza
Hawa wetu wanaoshinda tiktok na wazee wa kula kimasihara hata hawajui "Gen Z" ni nini sembuse waje kutambua mambo muhimu ya nchi? Kwao nguvu za kiume ndio fesiti kipaumbele ππ
Kuna watu wanaumizwa zaidi na kile jeshi la Kenya linachokifanya dhidi ya waandamanaji kuliko Ruto mwenyewe.
Wanatamani Ruto aagize jeshi liue wakenya ili nao wapate pa kusemea ama ku-justify uzombi wao.
Rais Dr Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi wote wa Kenya wapate fursa ya kusoma na kulisaidia Taifa mbeleni hatutaki kuwa na Taifa la Vijana wasiotambua umuhimu wao kwa Taifa la Kesho ambalo Ruto na Odinga hatutakuwepo, amesisitiza
Dr.William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto,
ni miongoni mwa wanasiasa wenye maono ya mbali sana, hasa ukijichanganya ukimpa nafasi na michrophone azungumze, lazma akuguse kwa neno la kukusifu na kukupa matumaini na lazima utatuliza ball tu

Usikubali kuburuzwa na wanasiasa na viongozi
Siyo kila jambo kolipitidhwa ndiooo ila kimoyomoyo unakaataa
Watanzania ni watu wa kukubali kila jambooo ila moyoni wanaumia
Huku kwetu wanaoitwa wanasiasa mahiri Akina Tundu Lisu wanaongelea mambo ya Abdul na mama yake Mama Abdul badala ya kujikita Kwenye hoja nzito za wananchi
Usikubali kuburuzwa na wanasiasa na viongozi
Siyo kila jambo kolipitidhwa ndiooo ila kimoyomoyo unakaataa
Watanzania ni watu wa kukubali kila jambooo ila moyoni wanaumia
nidhamu ya woga imepelekea wengi kua na ghadhabu na mihemko ya kujificha ya kulaani jambo huku amejificha kwa aibu ya kua ataonekanaje kwa ndugu zake ambao ni viongozi, akilalamika na kutukana hadharani mchana kweupe π