Rais Ruto: Nitafanya kazi na Gen Z. Tayari nimeongeza Fedha za Mikopo ya Elimu ya Juu na Ajira Mpya, nitawakaribisha Ikulu tuyazungumze

Huku kwetu wanaoitwa wanasiasa mahiri Akina Tundu Lisu wanaongelea mambo ya Abdul na mama yake Mama Abdul badala ya kujikita Kwenye hoja nzito za wananchi
Tatizo watz wengi wenu ni maiti hamhitaji hoja nzito
 
Mpaka hapo ameona nguvu ya vijana, ubabe hausaidii kitu, atoa hongera kwa vijana wazalendo wanaofanya maandamo ya amani na kwamba wasikilizwe na atakua mstari wa mbele kuwaskliza.
Kama angeendelea kuzembea, angeona rangi zote maana hawa vijana ni kizazi kipya, huwagawi kwa misingi yoyote, huwagawi kidini wala kikabila au kikanda, tena wameungana kote kote zaidi ya balaa.......

Awasklize na afanye jitihada za kutekeleza wanachokiagiza......
=====================

President William Ruto has broken his silence over the ongoing protests by Kenyan youths over the Finance Bill 2024.
Speaking in Nyahururu on Sunday, Ruto said that he is proud the young people have stepped forward tribeless and peacefully to be counted.

He said what they have done is their democratic duty and his administration will engage them on their concerns.
The President insisted that together with young people, his government will work with them to build a better country.

"Our young people have stepped forward to engage in the affairs of their country. They have done a democratic duty to stand and be recognized and I want to tell you that we are going to have a conversation with you so that we can identify your issues and we can work together as a nation and streamline your issues.

"I am very proud of our young people. They have stepped forward tribeless, they have stepped forward peacefully and I want to tell them we are going to engage so that together we can build a better nation," Ruto said.

"What I want to encourage them is that we are concerned about their issues."

He added that in the coming Financial year, they have set aside funds to create employment opportunities for the youth and to also enable them have access to TVET and university education.

His remarks come after Kenyan Gen Zs staged countrywide demonstrations over the 'punitive' Finance Bill, 2024.

The President and his deputy Rigathi Gachagua were at the Anglican Church of Kenya (ACK) Diocese of Nyahururu for a church service and the Consecration and Enthronement of Rev. Maj. Samson Mburu Gachathi as the 3rd Bishop of the Diocese.
 
Rais wa Kenya William Ruto leo June 23,2024 amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na maelfu ya Vijana waliofanya maandamano ya amani wiki hii kote Nchini Kenya kupinga mapendekezo ya nyongeza ya kodi huku akiwapongeza Vijana hao kwa kujitokeza na kushughulika na mambo ya Taifa lao.

Maandamano hayo yaliandaliwa kwenye mitandao ya kijamii kisha yakahamia kwenye barabara mbalimbali za Kenya huku Washiriki wakubwa wakiwa ni Vijana Wakenya wengi wenye umri mdogo maarufu kama ‘Gen-Z’ ambao wamekuwa wakipeperusha maandamano hayo moja kwa moja kwenye mitandao ya kijamii.

Vijana hao wameendelea kushinikiza kutoridhika kwao kuhusu sera za kiuchumi za Serikali ya Rais Ruto ambapo Rais Ruto katika tamko lake la kwanza hadharani tangu kuanza kwa maandamano hayo akiwa kwenye Ibada kwenye Kanisa moja katika Mji wa Nyahururu katika eneo la Bonde la Ufa , amesema “Ninajivunia sana Vijana wetu, wamepiga hatua mbele kwa kufanya maandamano ya amani na ninataka kuwaambiakwamba tutawashirikisha”

Ruto amesema Serikali yake itafanya mazungumzo na Vijana hao ili kwa pamoja walijenge Taifa la Kenya liwe kubwa zaidi. #MillardAyoUPDATES
 
Huku kwetu wanaoitwa wanasiasa mahiri Akina Tundu Lisu wanaongelea mambo ya Abdul na mama yake Mama Abdul badala ya kujikita Kwenye hoja nzito za wananchi
Duh. Nasikia eti jamaa amekimbizwa kwa daktari wake huko ubelgiji😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…