johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
NimekuelewaNdio kwa sasa tunauza zaidi na Balance of trade is in favour of Tanzania lakini tunauza mazao kama mahindi mbao na malighafi nyingine wenzetu wakenya wanaziprocess na kufanya value addition na kuexport na kupata faida kubwa zaidi ya hiyo surplus yetu tunaiyopata tunavyotrade nao.
Cha muhimu ni Gvt kuweka mazingira wezeshi TZ tutengeneze fishished goods na kuuza nchi nyingine sio kuwafaidisha wao na hizo malighafi zetu.
Kwa hiyo hapa watz tunapigwa Kenya wanapata faida kubwa sana kwa kutrade na TZ kuliko sisi.
Hapa turasubiri sana. Wabongo wengi sio innovation-oriented.Ndio kwa sasa tunauza zaidi na Balance of trade is in favour of Tanzania lakini tunauza mazao kama mahindi mbao na malighafi nyingine wenzetu wakenya wanaziprocess na kufanya value addition na kuexport na kupata faida kubwa zaidi ya hiyo surplus yetu tunaiyopata tunavyotrade nao.
Cha muhimu ni Gvt kuweka mazingira wezeshi TZ tutengeneze fishished goods na kuuza nchi nyingine sio kuwafaidisha wao na hizo malighafi zetu.
Kwa hiyo hapa watz tunapigwa Kenya wanapata faida kubwa sana kwa kutrade na TZ kuliko sisi.
AsanteNdio kwa sasa tunauza zaidi na Balance of trade is in favour of Tanzania lakini tunauza mazao kama mahindi mbao na malighafi nyingine wenzetu wakenya wanaziprocess na kufanya value addition na kuexport na kupata faida kubwa zaidi ya hiyo surplus yetu tunaiyopata tunavyotrade nao.
Cha muhimu ni Gvt kuweka mazingira wezeshi TZ tutengeneze fishished goods na kuuza nchi nyingine sio kuwafaidisha wao na hizo malighafi zetu.
Kwa hiyo hapa watz tunapigwa Kenya wanapata faida kubwa sana kwa kutrade na TZ kuliko sisi.
Yah right. Bavicha ndiyo wanao Homa vifaranga vya jirani.....!!Bavicha watapinga
umesema ukweli sisi tunauza raw wenzetu wanaprocess na wanatuuzia pia ss wenyewe at a very dear price.Ndio kwa sasa tunauza zaidi na Balance of trade is in favour of Tanzania lakini tunauza mazao kama mahindi mbao na malighafi nyingine wenzetu wakenya wanaziprocess na kufanya value addition na kuexport na kupata faida kubwa zaidi ya hiyo surplus yetu tunaiyopata tunavyotrade nao.
Cha muhimu ni Gvt kuweka mazingira wezeshi TZ tutengeneze fishished goods na kuuza nchi nyingine sio kuwafaidisha wao na hizo malighafi zetu.
Kwa hiyo hapa watz tunapigwa Kenya wanapata faida kubwa sana kwa kutrade na TZ kuliko sisi.
Lete ukweliHuo ni uongo bana
Ruto ni mhuni kama wahuni wengine alikuja kuwahadaa na wapumbavu mkaamini.Bavicha watapinga
Daah! CCM mna hofu na chadema mpk nawahurumia.Bavicha watapinga