Rais Ruto: Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania

Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi

Chanzo: TBC
 
Ndio kwa sasa tunauza zaidi na Balance of trade is in favour of Tanzania lakini tunauza mazao kama mahindi mbao na malighafi nyingine wenzetu wakenya wanaziprocess na kufanya value addition na kuexport na kupata faida kubwa zaidi ya hiyo surplus yetu tunaiyopata tunavyotrade nao.

Cha muhimu ni Gvt kuweka mazingira wezeshi TZ tutengeneze fishished goods na kuuza nchi nyingine sio kuwafaidisha wao na hizo malighafi zetu.

Kwa hiyo hapa watz tunapigwa Kenya wanapata faida kubwa sana kwa kutrade na TZ kuliko sisi.
 
Nimekuelewa
 
Hapa turasubiri sana. Wabongo wengi sio innovation-oriented.
 
Ndio kwa sasa tunauza zaidi na Balance of trade is in favour of Tanzania lakini tunauza mazao kama mahindi mbao na malighafi nyingine wenzetu wakenya wanaziprocess na kufanya value addition na kuexport na kupata faida kubwa zaidi ya hiyo surplus yetu tunaiyopata tunavyotrade nao.

Cha muhimu ni Gvt kuweka mazingira wezeshi TZ tutengeneze fishished goods na kuuza nchi nyingine sio kuwafaidisha wao na hizo malighafi zetu.

Kwa hiyo hapa watz tunapigwa Kenya wanapata faida kubwa sana kwa kutrade na TZ kuliko sisi.
Asante

Ova
 
Aisee!
Mwenye Enzi Mungu ibariki Tanzania [emoji1241] nchi yangu walahi
 
Ndio kwa sasa tunauza zaidi na Balance of trade is in favour of Tanzania lakini tunauza mazao kama mahindi mbao na malighafi nyingine wenzetu wakenya wanaziprocess na kufanya value addition na kuexport na kupata faida kubwa zaidi ya hiyo surplus yetu tunaiyopata tunavyotrade nao.

Cha muhimu ni Gvt kuweka mazingira wezeshi TZ tutengeneze fishished goods na kuuza nchi nyingine sio kuwafaidisha wao na hizo malighafi zetu.

Kwa hiyo hapa watz tunapigwa Kenya wanapata faida kubwa sana kwa kutrade na TZ kuliko sisi.
umesema ukweli sisi tunauza raw wenzetu wanaprocess na wanatuuzia pia ss wenyewe at a very dear price.
 
Tunawauzia malighafi na wao hufaidika zaidi kwa mfano mahindi wao hutengeneza unga na kuuza somalia, ethiopia na sudani lakini pia pumba wanatengeneza vyakula vya mifugo au mahindi hayohayo wanapata mafuta ya kula, halafu mashudu ya Alizeti wao wakinunua kwetu wanayaprocess na kupata mafuta tena ya kula mengi tu na makapi wanafanya chakula cha mifugo, wananunua mbao mafinga na njombe na kwenda kuziprocess, haya asali ya sikonge wao hupata faida zaidi, kwahiyo kama alivosema mdau pale juu serikali yetu ichagize viwanda hata vidogo na vya kati ili tuuze bidhaa kamili kwenye hayo masoko lakini pia tutatengeneza ajira kwa wananchi wetu, lakini ukiuza malighafi ni sawa na Kuhamisha ajira za watanzania,
 
Back
Top Bottom