Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili.
Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za uwekezaji, ushirikiano wa kiusalama, na utawala bora.
Soma pia: Trump adaiwa kuwasiliana na Putin angalau mara 7 baada ya kutoka ikulu ya White House mwaka 2021
Rais Ruto pia alimfahamisha Trump kuhusu Ujumbe wa Kimataifa wa Usaidizi wa Usalama nchini Haiti, unaoongozwa na vikosi vya Kenya.
Watanzania tunakwama wapi lini tutasikia Samia anaongea na Trump?
Source: EATV