The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana.
Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania.
Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata kura moja asingepata 2025.