Pre GE2025 Rais Samia 2025 ni kama Biden tu 2024 tofauti ni kiwango cha Demokrasia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864

Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana.

Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania.

Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata kura moja asingepata 2025.
 
Lucas Mwashambwa njoo haraka wanakuchokoza huku
 
Ya kwangu hatapata kabisa kwani huwa namuona ni bomu Tena la kienyeji. Hana future na nchi yetu na hana Nia nzuri na nchi yetu. Zaidi ni dhaifu kuliko udhaifu wenyewe .
 
Nililipa kwa dola nchi flani. Nimepata hasara kubwa sana kwa kudorora thamani ya fedha yetu
 
 
Joe Biden akishinda urais Marekani nitampa kura SSH. Ukweli ni majambazi wa rasilimali za taifa pekee ndio wanamhitaji. Tanzania sio maabara ya kujifunzia kuongoza.
Hata elimu yake ni ya kuungaunga, form four alifeli na alisema mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…