Rais Samia: 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Akizungumzia miradi ambayo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni, Rais Samia amesema 4R kutumika utoaji Haki Mahakamani, na kuongeza kuwa Maabusu wamepungua wasio na Kesi za Msingi.

Your browser is not able to display this video.
 
Kila la heri Samia .nimewaza Tu inawezakana ufunguz WA miradi hiyo ukafanywa na Tundu Lisu .
 
Ni kweli, hata kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 tuliziona
 
No Reforms No Election!
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…